
Sijawahi Achwa Lyrics
...
Sijawahi Achwa Lyrics by JAPHET ZABRON
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, hata kweney hatua zangu, na huyu yesu
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Ameniinua nakuicha aibu yangu huyu yesu
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Kwani we hujawahi kukumbuka, vipi umefika fikaje hapa
Maana sio rahisi
Mbona mi namjua jua fika, yupi uweza na uniwezesha
Ni huyu huyu yesu
Kuna jambo moja linalo nitia nguvu, mi niko na mtetezi wangu
Asijependa niaibike mimi
Hivi nilivyo ni huyu huyu yesu wangu, amefunika unyonge wangu
Kwanini nisi mshukuru mimi
Aibu ameiondoa, heshima kaniinulia
Ameniteta sikustahili, kuna muda unikinga na adui
Ametimiza ahadi ya kutoniacha
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, hata kweney hatua zangu, na huyu yesu
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Ameniinua nakuicha aibu yangu huyu yesu
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Usipoelewa mi nitarudi kesho, tuongee ukuu wa mungu tena
Natamani ugundue uwezo wake
Mimi si kitu bila huyu mungu, angeniacha ningekuwa wapi
Nathibitisha hajawahi niacha niteseke
Basin i nani kama huyu mungu, mwenye uwezo wakutenda haya
Najua hakuna mwingine mungu kama yeye
Na hapa ukiniona nang’ara na shine (ni yesu)
Ujue nimebebwa tu na neema, siri ni kumjua mungu
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Sijawahi achwa, hata kweney hatua zangu, na huyu yesu
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Ameniinua nakuicha aibu yangu huyu yesu
Sijawahi achwa, niaibike eeh
Watch Video
About Sijawahi Achwa
More JAPHET ZABRON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl