Oka Vs Carpoza Freestyle Battle Lyrics
Oka Vs Carpoza Freestyle Battle Lyrics by OKA MARTIN
ROUND 1
(Carpoza)
Mi ndio Carpoza mchekeshaji na ni rapper pia
Sina dhambi zaidi ya mrege na kudunda pia
Ujana kazi usipokaza Dar unachumbiwa
Cheki dume haupo ndani na unalelewa
Sio mwembamba sio mfupi sio mrefu pia
Minopara bonge la IQ huna ndevu pia
Sinaga dem ni mshikaji na ananizimia
Nishavuka border na Kenya inanijua pia
Ujinga wangu wenye kina aisee
Miaka mitatu nishafanya ya dhara shit mzee
Unachowaza nishafanya long time aisee
Ndio maana nipo sidati unaeza sipa mzee
Hey nachange zana niite mzee mwezangu
Una ngono bila zana kwangu kwako damu yangu
Na Mungu kama huna msela sasa zamu yangu we ni lofa
Hauwezi pita njia zangu
(Oka Martin)
Roho mbaya haijengi buda iko simenti
Mkaza matopeni na anakula mafenesi
Tetesi, doctor niko zamu ya nesi
Nakupa kubwa I hope utaipata freshi
16 bars umekaa na baba yako
Michezo ya kichawi utaona kiini macho
Ooh Lord Carpoza anakufa leo
Kichwa kimemsimama design ya pembejeo
Ng'e ng'e ng'e huna flow ya kibabu
Hii ni vita ya kiratini
Njoo kwa mahesabu iko tabu
Niko na roho mbaya mwarabu
Ruksa kugewezea lakini hutapata jibu
Nakuua kwa tungu usipate taabu
Mi ndio yule anayekera kama anagubu
Na - na - na rap umenifunza
Kuna kucha mara pote sio lazima sinza
ROUND 2 -DEMU
(Oka Martin)
Piga pasi boxer nitavaa tuxedo
Mua wa mkulima nakula mdo mdo
Hainizuii kusema nimepata chobo
Matilio fulani yasiyofaa mpango wa kando
Ma-ma- ma mamamushka mi ndio papushka
Hakika nitakuvusha urembo wa sura
Soft ukitouch unanifanya nazurura
Kwa dawa za kimang'ati
Cheka kidogo usiwakwaze mawifi
Smile la kimakogo la kumuudhi mfilisti
Lilinifanya nitulie mwamba
Hukazika kama za kuomba hizo namba
Tulipotoka mbali tuvumiliane
Yaliyopita hayo tuvumiliane
Hata nikikosa usijenipokea kesho nitakuwa doni
Basi nitreat fair
(Carpoza)
Sina yoyo mingi mi ndio dingi
Naweza lea watoto wakiwa bize na mimi
Poyoyo mingi girl ndio nakufiti
Naweza fanya chochote juu yako niamini kwanza
Upo simple
umetoboa mashavuni mabishoni naita dimble
Ulipo nami nipo
Michezo ya kitandani kamasutra mi ndio popo
Mi ndio zaidi ya ulimbo
Sauti ya kumtoa nyoka inanitoa ulipo
Hey mi ndio kichwa japo nilifeli
Skuli nakufikisha na hatua moja ndo imebaki
Sfuli ishanipa ruksa nakaza mpaka misuli
Nimwage popote nisiwaze mbona shwari
Ah sio wa kimanga sio wa Kitanga
Unapendeza na kanga haunaga shanga
Unaniitaga zombie jinsi navyong'ata
Nimevunja kikombe wa kwanza hakuna kunitisha
ROUND 3 - SIMU
(Carpoza)
Nikiwa hai sipokei simu kabisa
Huwa zinanibusha tupa kule sikatai
Simu za madem hapana labda dem mpya
Dume linatuma message 'Mambo' linanitisha
Simu yangu ndogo kuiwasha ni usiku kabisa
Maana text ziko mingi mpaka simu inazima
Kuna muda flight mode japo nipo kwa dinga
Simu zingine sipokei hasa za mwenye nyumba
Nikikukopa sasa hunipati mpaka dumba
Maana ukipiga sipokei ukibeep naizima ndui
Nana ukiona sieleweki basi ujue niko ndui pia
Hey mami lolo, micheti nina ya hamsini na mbili
Niliachana na ya pili nilizima siku mbili
Si unajua mumeo tapeli alafu pia katili
Ndio maana bado naishi mi ndio mswahili
(Oka Martin)
Simu yangu level za juu ni iPhone
Nafanya rhymes kali zaidi ya Saigon
Eee bwana Dar, eeh bwana ooeee
Wanangu I tell you mbona siwaoni
Sogeeni karibu niwaambie mara moja
Simu yangu huwa haishiwi vioja
Juzi nilimpata demu na sijamtongoza
Ni baada siri kusema 'How you feeling brother'
Hey am sorry men, unatumia brand gani
Nataka kuleta mende kwa mtazamo wa simu yako
Ina credit kibao na ukiwa vocha ya nyingi inapatwa na mshangao
Simu yangu hadhi ya kipapasi sijisifii
Kweli nina namba ya mastar
Sema 'Hi' na Wema niliomba namba ya Tunda
Haiku save cha ajabu nayo iligoma
Watch Video
About Oka Vs Carpoza Freestyle Battle
More OKA MARTIN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl