Upo Nami Lyrics
...
Upo Nami Lyrics by JAPHET ZABRON
Haujawahi niacha, katika majira yote
Mungu upo name, we upo nami, katika nyakati zote
Haujawahi niacha, katika majira yote
Mungu upo name, we upo nami, katika nyakati zote
Ukitaka kujua, ni yupi rafiki wa kweli anaeweza kusimama nawe
Ni ule wakati wapiti matatizo na shida yeye hujitokeza
Yule unaedhani nfiye anaweza kusimama pamoja nawe
Ndiye aweza kukukimbia unapo patwa na shida, hutompata
Kuna huyu rafiki mwema, hunisaidia katika hali zote
Watu wakinitenga yeye yupo hajawahi niacha
Haujawahi niacha, katika majira yote
Mungu upo name, we upo nami, katika nyakati zote
Haujawahi niacha, katika majira yote
Mungu upo name, we upo nami, katika nyakati zote
Upepo mbaya, ulipovuma, machafuko ndani ya moyo wangu
Wewe, wewe myuliza mawimbi ukatuliza oo ooh
Nina historia na wewe, hujawahi kuniacha bwana
Hata sekunde moja, mimi ni aibike umekuwa ngao yangu
We yesu ndiwe rafiki mwema , unisaidia katika hali zote
Watu wakiniacha wewe upo, hujawahi kuniacha
Haujawahi niacha, katika majira yote
Mungu upo name, we upo nami, katika nyakati zote
Haujawahi niacha, katika majira yote
Mungu upo name, we upo nami, katika nyakati zote
Watch Video
About Upo Nami
More JAPHET ZABRON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl