Sitalia Lyrics
Sitalia Lyrics by IRENE ROBERT
Tangu nikuwe tumboni mwa mama
Mungu aliniona
Na licha ya mavumbu na mapito
Vikwazo kila kona
Wakipanga mabaya anapangua
Wema na wabaya anawajua
Mitego wanatega anategua
Na hali si zetu anatambua
Yalinitesa mawazo
Mbele giza sikuiona njia
Vikawa vingi vikwazo
Niliumia sana
Yalinitesa mawazo
Mbele giza sikuiona njia
Vikawa vingi vikwazo
Niliumia sana
Machozi yamekauka, sitolia tena
Sitalia, sitolia tena
Sitolia tena, sitolia tena
Nishajua Mungu yuko na mimi
Machozi yamekauka, sitolia tena
Sitalia, sitolia tena
Sitolia tena, sitolia tena
Nishajua Mungu yuko na mimi
Najua atapangua, ooh bwana atapangua
Ooh najua atapangua, Mungu wangu atapangua
Mitego yote atapangua, ee Bwana atapangua
Watesi wote ataondoa, ee Bwana atapangua eeh
Pangua, pangua pangua
Pangua, pangua
Amenitoa gizani (Amenitoa gizani)
Ameniweka mwangani (Ameniweka mwangani)
Amenitoa gizani (Amenitoa gizani)
Ameniweka mwangani (Ameniweka mwangani)
Yalinitesa mawazo
Mbele giza sikuiona njia
Vikawa vingi vikwazo
Niliumia sana
Yalinitesa mawazo
Mbele giza sikuiona njia
Vikawa vingi vikwazo
Niliumia sana
Machozi yamekauka, sitolia tena
Sitalia, sitolia tena
Sitolia tena, sitolia tena
Nishajua Mungu yuko na mimi
Machozi yamekauka, sitolia tena
Sitalia, sitolia tena
Sitolia tena, sitolia tena
Nishajua Mungu yuko na mimi
Watch Video
About Sitalia
More IRENE ROBERT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl