Toto Lyrics
Toto Lyrics by KINGS MUSIC
Yo! Yebaba! Uuuh…. Ahh moco
Vijana wangu wa maskani mi nawakacha
Story nyingi mi wanazoniopa mi nawakata
Shori zigizaga zarizo za bamba ta
Mi ndo nataka Mi ndo nataka
Heehee vi jajana wangu mi nawakacha
Story nyingi wanazonipa mi nawakata
Shori zigizarizo za bamba ta
Mi ndo nataka … Mi ndo nataka yeah
[CHORUS]
Don’t you know
Don’t you know that
Umenikamata kamata Don’t you know
Yaani don’t you know mama don’t you know
Umenikamata kamata Don’t you know
Toto we toto unanidanganya danganya
Kama Mtoto (Toto)
Toto we toto unanidanganya changanya
Kama Mtoto (Toto)
Toto we toto unanidanganya akili
Kama Mtoto (Toto)
Toto we Mtoto ooh
Kama Mtoto (Toto)
Lololololoooo aaah (Mhhhh)
Jaribu kuja kidogo
Zama ndani tizama
Usijelianzisha zogo
Aya aaah ayayaaa yee
Leo sitokwacha upotee
Nikupeleke kwenye video
Natena sitaki ukosee baby (Aaah)
njoo utambe na ukidili
Nasingle so siri utapotea
My darling naamini
Wakikubezabeza usijali
I don’t care
Wabaya ndo wanaona donge
Wacha wanga wanywe vidonge
Honey tulicheze lizombe
Usizidishe kipimo cha pombe
Nabembea, pepea bembea
Bendera pepea
Raha Zaidi ukibembea
Bembea bendera pepea
[CHORUS]
Don’t you know
Don’t you know that
Umenikamata kamata
Don’t you know (mmhh)
Yaani don’t you know
Mama don’t you know
Unenikamata kamata don’t you know
Toto we toto unanidanganya danganya
Kama Moto (toto)
Toto we toto unanichanganya changanya
Kama Mtoto (toto)
We Mtoto we Mtotoo unanivuruga akili
Kama Mtoto (Toto)
We Mtoto we Mtoto ooh
Ayo yo yo ooh… Ayo yo yo ooh
Kuna wenye majina
Watakufwata we (fuata we)
Sababu uko na mie
Kuna wenye maradhi
Watakufwata we sababu uko na mie
Toto unanikomesha nnogesha ndatishaaa
Mi napagawa kwa raha zako
Nnazozipata kukuacha naogopa
A ya ya ya
Njooo basi njooo basi njoo
Basi njooo (naiya)
Njoo basi njoo (samia)
Njoo basi basi njoo (naiya)
Njooo basi njooo basi njoo
Basi njooo (naiya)
Njoo basi njoo (samia)
Njoo basi basi njoo (naiya)
Ohhh hoooo
[CHORUS]
Don’t you know
Don’t you know that umenikamata kamata
Don’t you know (Mhhh)
Yaani don’t you know
Mama don’t you know
Umenikamata kamata
Don’t you know
Toto we toto unanidanganya danganya
Kama Moto (toto)
Toto we toto unanichanganya changanya
Kama Mtoto (toto)
We Mtoto we Mtotoo unanivuruga akili
Kama Mtoto (Toto)
We Mtoto we Mtoto ooh
Watch Video
About Toto
More KINGS MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl