
Habari Yako Lyrics
...
Habari Yako Lyrics by ASALA
Kwanza habari yako naomba nikusalimie
Mi si ndio yule kituko uliyenitaga enzi zile
Nimepata ujumbe wako nikaona nikupigie
Si kwa yule shoga yako mlonichamba enzi zile
Tena kaniambia umepauka pau
Mungu kanilipizia maana ulizidi dharau
Walokusifia leo wanakudharau wewe
Ndio zineninywea beer ngoja ufe nyangau
Ah itabaki historia
Ya mimi na wewe
Kwako siwezi kurudia
Kurudia tena
itabaki Historia
ya mimi na wewe
Nyuma siwezi kurudia
Ah kurudi nyuma tena
Na kwanza hapewi pole mwenye kilanga aah aah
Ulianzisha vita hujajipanga aah aah
Leo hela yako jika la mganga aah aah
Sa utaishi vipi bila madanga aah aah
Tena kanambia umepauka pau
Mungu kanilipizia maana ulizidi dharau
Walokusifia leo wanakudharau wewe
Ndio zineninywea beer ngoja ufe nyangau
Ah itabaki historia
Ya mimi na wewe
Kwako siwezi kurudia
Kurudia tena
Itabaki Historia
Ya mimi na wewe
Nyuma siwezi kurudia
Ah kurudi nyuma tena
Watch Video
About Habari Yako
More ASALA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl