KONTAWA Daktari  cover image

Daktari Lyrics

Daktari Lyrics by KONTAWA


Hello
Naitwa tawa
Kazi yangu udakitari na nnagawa dawa
Hello ouuh, nimepagawa
Kiufupi hali yangu wala haiko sawa
Mi ni dakikari wa bugando
Na nnakaphamarce kako ng’ambo
Kazi si yametokea mambo
Adi nkapewa baruaa
Nimefukuzwa kazini
Kisa kiongozi nimemueka kwa foleni
Yani ata siamini
Naona kaa walipangana kampeni
Nikaona nrudi nyumbani
Huku njiani nna mawazo mengi
Nilivyo fika nyumbani
Nkamkuta bebe anajiandaa anajiandaa
Nkashindwa ata ata kumpa story
Yani story ya nilipotoka
Akanambia baby please am sorry
Niazime gari nataka kutoka
Nikaona bora nikubaliane nae
Yalio nikuta ntamwambia baadae
Akani kiss na kunichum mwah
Na mwisho wasiku akanambia bye bye
Alivyotoka tuu na gari kubwa
Nikachukua ndogo nikaelekea pharmacy
Nikaona ili nisipoteza muda
Bora niende zuga kwenye yangu pharmacy
Baada ya masaa manane yalitokea majanga sanaa
Navyo kwambia mwana wane kuna watu wana zambi sana
Uwezi amini mbele ya duka langu
Yani flame yangu likapaki gari langu
Mwanzoni me nilijua ni mkewangu
Akiyamungu wangu siku amini macho yangu
Akashuka kijana
Sikujua ni nani
Akaingia dukani
Na akataaka kuhudumiwa
Nikaona bora tu mi nimskize
Ili nijue kaa kuna chochote
Akili yangu ikawa ipo busy
Ikitaka kujua kama wapo wote
Akanambia doctor naomba viagra
Naomba condom
Nataka niende leo nikavunje chaga
Kuna bebe iko room uuuh

Najiuliza nifanyaje, nifanyaje
Najiuliza nifanyaje, nifanyaje
Swali nifanyaje, nifanyaje

Watch Video

About Daktari

Album : Daktari (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Jun 29 , 2022

More KONTAWA Lyrics

KONTAWA
Mke
KONTAWA
KONTAWA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl