Champion Remix Lyrics
Champion Remix Lyrics by KONTAWA
Jam on the beat
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Yea
Mi nimezaliwa mtwara
Huku ndanindani chitoholi na rendele
Pengine hata bibi yangu na babu bado
Wajua raisi ni nyerere
Huko kwetu machawa wapo
Tena wakikungata wnakuwacha na vipele
Na sio machawa wa mjini
Hadi motto wa kike wanamuonea gere
Men sikumbuki kama mungu nisha muomba utajiri
Ila kanipa kwa sababu nastahili
Busara kwangu ni jambo la siri
So usishangae wakiniitanga zobanhiri
Nime toboa mbele mkubwa na tale
Kipara na sake wa tandalee
Hizi sio zama za kale
Mziki uko huru
Piga mziki tumebaki wawili
Haikua riziki wanangu cheed na killy
Ma sister angella wamemshika killy
Waambie konde gang ni jeshi la mtu mbili
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Tumeishi na watu wanao amini kwenye mpango wa mungu kuna mkono wa mtu
Tumeshi na watu wanao amini sikukuu ndio siku ya kuchinja kuku
Ooya wee
Tumeishi na watu ambao walitembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku
Tukaishi na watu wanao amini bahati bahai zote alipangiwa bukuku
Apo mwanzoni waliamini atutopata mafanikio
Walio tugagilia wakauza mafagio
Eeh mtaani kwetu sio
Mtu aliye toboa sana alitoboa sikio
Chumba kimoja analala dada na kaka
Watu awatupi msosi ata ukichacha
Baba chambazi motto anajiuza mtaani
Mama mchawi nyumbani atabaki nani
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Champion champion
Watch Video
About Champion Remix
More KONTAWA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl