Nimepona Lyrics
Nimepona Lyrics by IBRAAH
Macho yangu yana tamani kukuona
Ila moyo ume goma
Umecheza na hisia zangu
Kumbe si fungu nilichagua koloma
Minasha nga macho yana tamani kukuona
Ingali mabaya yali shuhudia
Na kidogo nilicho kua nacho
Ndo fanya uka ni kimbia
Yani kama nili chomwa na mwiba mahali
Maumivu yakanipa shida na
Siunge sema kama umeshiba mapenzi yangu
Mapenzi yangu wee
Maana uliyo fanya sioya kawada maa
Je ungeniua na cha roho kijiba na
Nika ji kokota huku nikimwomba mungu wangu kutwa aniponye
So kwa ubaya
Nime jiuguza na nimepona wewe
Nime jiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nime jiuguza na nimepona
Yalini tesa ila sijafa
Nime jiuguza na nimepona
Wenda uli wish nipite mabaya
Moyo wako si umejenga shuki sawa
Changu kindege umeota mbawa
Hauja niuza bure bure umenigawa
Nenda utapata anae kupenda
Wenda utampenda be aaya
Mi kosa kukupenda ukaniona mwana kwenda aaya
Nilipo ongeza upendo mabaya ulifanya dhahiri kwa vitendo
Kumbe zero malengo, kwa ngu uli follow tendo
Zile baby baby
Kumbe ulinizuga baby
Yani kama nili chomwa na mwiba mahali
Maumivu yaka nipa shida na
Siunge sema kama umeshiba mapenzi yangu
Mapenzi yangu we
Maana uliyo fanya sioya kawada maa
Je ungeniua na cha roho kijiba na
Nika ji kokota huku nikimwomba mungu wangu kutwa aniponye
So kwa ubaya
Nime jiuguza na nimepona wewe
Nime jiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nime jiuguza na nimepona
Yalini tesa ila sijafa
Nime jiuguza na nimepona
Watch Video
About Nimepona
More IBRAAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl