
Asante Lyrics
...
Asante Lyrics by IBRAAH
Kumbe kucha najikongoja
Yani kama naanza moja
Nikitazama majumba magari
Sina hata bodaboda
Anaetoa mungu yangu nangoja
Na najitetea kwa hoja napambana
Maana leo bora jana afadhali
Dunia imejaa vioja yeeeh
Kama si wewe Mungu nimshukuru nani
Maana wapo wanaotamani nisingeiona leo
Nashukuru nipo
Mungu baba tupo duniani
Wengine tunaishi nao wafuasi wa shetani
Wanatamani hata wangepata chako cheo
Watupelekee simbo heee
Sishindani nao napiga majungu niwe na
Amani au sina furaha anaejua ni wewe Mungu eeeh
Sina tamaa na ninachojuwa sio langu fungu
Ninachojali Amani furaha
Na mimi sio mtaka cha uvungu
Asante kwa kunipa na pumzi tu
Asante asante Mungu
Japo maisha yangu sio yale ya juu
Asante asante baba
Mi sina budi kukushukuru
Asante asante Mungu
Japo maisha yangu sio yale ya juu
Asante asante baba (baba)
Nakataza moyo kwa kukata tamaa
Najikokota naanguka tena najiokota eh eh
Nakataza moyo nakujirahisi tamaa
Kutamani ambavyo sijui walipambania managapi vilikotoka
Napiga goti kwa Mungu wangu (Mungu wangu)
Ombi nisije aga dunia bila kupata nilicho kusudia
Umri unakwenda na nina familia inayoniangalia
Mungu wangu
Imani maombi yatatimia maana penye nia pana njia
Na wewe ndio wakunitimizia Mungu baba
Wewe ndio msaada (Aaah)
Si shindani na wanaonipiga majungu
Niwe na Amani au sina furaha anaejua ni wewe Mungu
Sina tamaa na ninachojua sio langu fungu
Ninachojali Amani furaha na mimi sio mtaka cha uvungu
Asante kwa kunipa ata pumzi tu
Asante asante Mungu japo maisha yangu sio ya juu
Sina budi kukushukuru
Asante asante Mungu
Japo maisha yangu sio ya juu
Asante asante baba
Mi sina budi kukushukuru
Asante asante Mungu
Japo maisha yangu sio ya ju
Asante asante baba oya baba baba babaa
Asante babaaa asante Mungu
Watch Video
About Asante
More IBRAAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl