Fimbo Lyrics
Fimbo Lyrics by YOUNG LUNYA
(Paul Maker on the beat)
Lo, lo, lo beat ya Paul
Hawatuwezi ooh nah nah (Ona)
Wanangu gang gang sana (Gang gang sana)
Mwanzo walituona local sana (Local sana)
Tunakiwasha ndo maana
Tunawakalisha kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Tunawakalisha kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Tunawakalisha yeah
Wakija vibao wanakaa
Wambea vikao watakaa
Wawaki nafasi ya kuongea siwapi
Huwanga nawanyanyapaa
Nimewapa nafasi ya kunijua jina
Wakataka na napokaa
Leo napenda sababu nacho nikikosa
Habari zitatapakaa
Kung'aa ndo zetu mambo wee na mvetu
Watoto kibao wanalia DM sijui niwagongee tu
Na nawawashia full, hauzimi moto wa kifuu
Wanashangaa kuona rapper wa kisasa
Mwenye pigo za ki oldschool
Tatizo hawajulikani
Kwa hivi nawachana nitabattle na nani?
Kwa sasa michongo yote zamani
Naipiga X kama petty money
Ni mimi tu na hizi steam za mjani
Chuki ni chuki kwani kitu gani
Acha utani, rapper unaejaribu kumdiss
Kwa sasa haiwezekani
Si ndo tunakimbiza, bro tunawaumiza
Napata kinyaa nikitema yes sijui yai langu visa
Watawaishii visa, ka natoka naumiza
Kila unaponiona camera kibao utadhani naigiza
Hawatuwezi ooh nah nah (Ona)
Wanangu gang gang sana (Gang gang sana)
Mwanzo walituona local sana (Local sana)
Tunakiwasha ndo maana
Tunawakalisha kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Tunawakalisha kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Tunawakalisha
There they go, wanga there they go
Na nikija kwa mziki ni kisiki you better know
Wananiombea dhiki, dhiki dhiki mwenzako
Maana ukija kwenye mziki kila nachofanya ni miracle
Marapper wadogo nawaonea
Mi ni kama gonjwa naenea
Wanaonijua kitambo naelewa
Toka enzi za uongo na umbea
Kwenye beat hawakai wanaelea
Na ikawa funzo mbona nawapea
Nawaambia ukweli sitawaongopea
Nawaona kama choo ndo maana nawanyea
Anayewakimbiza katika michano
Kama sio mimi ni nani mwingine
Dundo la Paul likipata verse ya mbuzi
Siku zote huwa mashine
Mwendo hoi nawakimbiza
Spidi kwenye kona haishuki usipime
Idadi ya watu wasionikubali
Imekuwa ndogo sana nahitaji wengine
Wanaobana nawataka wengine
Hata wambea nawataka wengine
Maana zama zimeshabadilika
Mpaka watoto napenda mashine
So ningependa wachawi wengine
Hata wanoko nipate wengine
Masnitch wengine wengine
Labda nitapata challenge pengine
Hawatuwezi ooh nah nah (Ona)
Wanangu gang gang sana (Gang gang sana)
Mwanzo walituona local sana (Local sana)
Tunakiwasha ndo maana
Tunawakalisha kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Tunawakalisha kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Kama (Fimbo kama kawa)
Tunawakalisha yeah
Watch Video
About Fimbo
More YOUNG LUNYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl