Thamani Lyrics
Thamani Lyrics by YOUNG LUNYA
Oh she is so fine, noma
Turn it up all night
Kashanipa homa kinoma noma
So fly oh my
Turn it up all night
Kashanipa homa kinoma noma
Anaonekana mpole
Hapendi hata kuongea
Ana macho ya kulegea
Madogo kama Mkorea
Ananifanya nidate
Niwake niwake nimfuate
Macho hawatoki hapo kwake
Nawaza awe wangu naye wake
Kwa kuwa mi ni chata chata
Anawaka waka nikaleta umaster
Nikamfuata fuata
Kiuno chake anavyokata kata
Nikikikamata mambo shata shata
Thamani ya pumzi ya uzima
Amebeba nusu ya roho yangu
Yaani miluzi ya vima
Yaani maana ya upendo kwangu
Hakika see yah mah my lover
Mazima my lover
Nakupenda my lover
Mama my lover
So baby japo niko na meno makali, I don't bite
Tangu umeingia ndani unajua, your man right
Malaika wa ajabu umeshushwa na Almighty
So nageuka nyuma nakuangalia nathrow eyes
Bonge la smile natupa kule ustar
Piga mastar mpaka mwenyewe utajuta
Cheki hawa mabouncer yeyote atakayekugusa
Napausua kichwa wazee washanipa ruhksa
Hapo macho yamegota kwako
Waambie madem wenzako
Kama umeshampata wako
Najipa moyo japo
Bado unaleta mnato
Hutaki kuskia nisemacho
Unanijibu mkato
Nami ndo nishatoa macho
Mpaka ndani umenigusa
Nimependeza mpaka unaniona kipusa
Leo tu kidogo utajashtuka ni saa mbili
Kwani unaenda wapi wakati ni kesho Jumapili
Whats up
Thamani ya pumzi ya uzima
Amebeba nusu ya roho yangu
Yaani miluzi ya vima
Yaani maana ya upendo kwangu
Hakika see yah mah my lover
Mazima my lover
Nakupenda my lover
Mama my lover
Mi yako nimeipania game
Hata kila la tule nakishaka chagua m
Usiku ukifika nikupeleke kila sehemu
So tell me baby what do you want?
Moyo wangu unaupeleka mbio
Kwako sina ubabe mwenzio
So tell me baby what do you want?
Unajua vile ni soft wewe
Thamani ya pumzi ya uzima
Amebeba nusu ya roho yangu
Yaani miluzi ya vima
Yaani maana ya upendo kwangu
Hakika see yah mah my lover
Mazima my lover
Nakupenda my lover
Mama my lover
Watch Video
About Thamani
More YOUNG LUNYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl