Imani Lyrics

DOGO JANJA Tanzanie | Hip Hop, Bongo Flava

Imani Lyrics


Ooohoooo… Uuuuuhhhhmmmm… Yeaaahhhh .. Uuuh!

[VERSE 1]
Sometimes ups and down
Maisha napitia
Nacheka naliaa
Wala sioni Msadaa uh !
Ni mungu tu aliyejuu
Anaeniongoza aliemkuu
 Nayaweka kifuani si mwambii mtu
Tafaulu yote, kwa nia tu
Barabarani jua kali God I need you (heee)
God I need you (God I need you)
Yeah!

[CHORUS]
Bado na imani
Yote napitia (badoo)
Bado na imani  (badoo)
Yote napitia (badoo)
Bado na imani (badoo)
(Badoo Badoo)

Bado na imani
Yote napitia (badoo)
Bado na imani  (badoo)
Yote napitia (badoo)
Bado na imani (badoo)
(Badoo Badoo)

Sinaa... sinaa sinaa
Sinaaaa urafiki na dunia yenu (badoo)
Sinaaaa... sinaaaa sinaaaaa (nasema sinaaa)
Sinaaaa urafiki na dunia yenu (ona na na)

[VERSE 2]
Nilikuja peke yangu bila wenzangu
Hakuna ninachohofia zaidi ya
Mungu na mama angu
Ndo maama niko hapa leo nakusujudia
Mengi na kwambia kuna viumbe vinaumia
Nivute nkono niweke kwa mlima (Lord)
Nikiwa kwako labda tapata uzima
Dunia tambala bivuuu walisema watu wazima
Mi nasujudu we umesimama wimaa

[CHORUS]
Bado na Imani (Badooo)
Yote napitia (badoo)
Bado na imani (badoo)
(Badoo Badoo)
Bado na Imani (Badooo)
Yote napitia (badoo)
Bado na imani (badoo)
(Badoo Badoo)

Sinaa... sinaaaa sinaaaa
Sinaa Urafiki na dunia yenu (sinaaaa)
Sinaaaa (huhuuu) sinaaa sinaaa
Sinaaaaa Urafiki na dunia yenu (ona na na)
Sinaaa sinaa sinaa
Sinaaaaa Urafiki na dunia yenu (badoo)
Sinaaaa sinaaa sinaaa (sinaa)
Sinaaaaa Urafiki na dunia yenu (ona na na)

 

Leave a Comment