Blood Lyrics
Blood Lyrics by CHIDI BEENZ
Keep calling me papa
Coz ain't reasdy to die yet
Tano nyota saba ndo this stage na direct
Usipende get low yangu ipo ndani kwangu
Nahisi niko serious hauna eeh
I'm so complex utadhani classic
Nasoma unasmile fresher fresher
Ring tunateka tunafly flexer
Ring ring call inajaza brethen
Ring wrong blame kwenye alcohol
Ying yong hapa simama stage game
Kama ping pong
Hii ndo song zangu labda liende mbali
Naishi kujibeba ka kwenye gari
Roast wanasoma sana kwenye my page
Jina langu kichwa vipi utadirect
All over the world sauti inapaa juu
Najua unajua kila kitu times 2
Times 2....
Bloody faith, bloody chain
My black nasaka dollar kwenye train
Na sina noma na Madee na maintain
Wataka sifa mi nina sifa kwa brain
Nahisi payday, friday
To the weekend kila weekend
Tunazipuliza yeah
Yeah ... yeah yeah
Speaking about the hiphop is missing now
I'm here still dawg, dawg
And clock still ticking now
Representing big big poppa
RIP bad nigga who who shotta
Mavumba yanafichwa kwa kichaka
Beat hua sizioi beat nazibaka
Na hakuna matata
Namba zinachange ka kiraka
Kibaka namkimbiza tena faster
Changu changu chako changu pia
Nipo kiwanjani bado unachungulia
Maneno ninayo umbea kama Ayo
Sudi usiogope sio Togo Adebayo
Criss cross ask mr big boss
Gas huku zinacost kwenye high note
Dry weed kitu nimekinyongea nukta
Naongelea mtoni yaani yaani bila kocha
Tusi la kicheko yaani bila joke
Amin aminia mwenye nia
Jua kila kitu kitakuwa kitu pia
Yeah yeah, yeah tunarudia dear
Bloody faith, bloody chain
My black nasaka dollar kwenye train
Na sina noma na Madee na maintain
Wataka sifa mi nina sifa kwa brain
Nahisi payday, friday
To the weekend kila weekend
Tunazipuliza yeah
Yeah ... yeah yeah
Mr bombastic, very fantastic
Dudu kama plastic mtoto aitake
Ataumia, ataumia, ataumia yeah yeah
Breath in, breath out, fix in, fix out
Dic in, dic song , na kama gang yeah
Jump jump around, jump jump around
Watch Video
About Blood
More CHIDI BEENZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl