
Afande Lyrics
...
Afande Lyrics by Dogo Paten
Ibilisi alinipanda sa ningefanya nini
Nilijikuta najitetea sababu na panga kiunoni
Ila afande sio kwamba nauza me mwenyewe nauziwa
Ila kesi ya robbery afande nimesingiziwa
Afande nilegezee kambaa
Ili niweze kukupanga afande
Yote sababu ya mchumba
Ndio mana me naiba afande
Afande nilegezee kambaa
Ili niweze kukupanga afande
Yote sababu ya mchumba
Ndio mana me naiba afande
Ayaa weeee, ayaa weeee
Zuu chu, chu chu
Iyo mideeeni mideni
Ndo inafanya mi nakesha lokesheni
Afandee niachee chee chee chee niacheni
Nkadange nipe namba ntawatumieni
Ila tuongee ukweli afande una sh ngapi
Kama una buku mbili nipe buku mi nabaki
Kibaaharia wawili alafu nna kula bati
Mbona utanisitili sina mia sina gachi afande
Afande nlegezee kambaa
Ili niweze kukupanga afande
Au niwe wako mchumba
Ndio mana me naiba afande
Afande nilegezee kambaa
Ili niweze kukupanga afande
Yote sababu ya mchumba
Ndio mana me naiba afande mmh
Wee masha love bado hajajua singeli inachezwaje
Na khadija kopa bado hajajua singeli inachezwaje
Nana mapozi bado hajajua singeli inachezwaje
Mariam saulaaa bado hajajua singeli inachezwaje
Waonyesheni mguu pande mguu sawa
Tunaruka mguu pande mguu sawa
Tunacheza mguu pande mguu sawa
Ayaaa weee che checeh, cheche che, cheche cheche che
Sikia sikia
Jamani lioneni lile pua lake kama mjagii
Eh mashauzi mingi mi mwenzenu simpendagi
Tumpige za kichina china
Za kichina china (khuu khaa)
Za kichina china za kichina china (khuu khaa)
Wee za kichina china za kichina china (khuu khaa)
Za ki jet li, za ki jet li (khuu khaa)
Za kichina china za kichina china (khuu khaa)
Watch Video
About Afande
More Dogo Paten Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl