I Love You Lyrics
I Love You Lyrics by HAMIS BSS
Mmmmh aiyo iyo
Mwenzio unauma moyo nipokee
(Ngatale Music)
Dizzo Voice, Dizzo
Japo mapenzi hayana pazia
Ajabu nimekuona wee (Kuona wee)
Nami kwako nitatulia
Na kwenye joto nikupepee (Nikupepee)
Baby love sio fair
I swear nimekwama boy
Wakiongea I don't care
Na kiumbo kako kama toy
Mi niko radhi hata jela nifungwe
Na ikibidi hata marungu nipigwe
Kukukosa mpenzi bora nizikwe
Kwa ajili yako wee
Ayee baby ooh baby
Nipe mambo ya kikubwa
Mwenzio mwenzio
Ya kitoto yananichosha
Baby ooh baby
Penzi linakaba huba
Mwenzio nipe o
Vikachori sambusa ee
I will die mwenzio oo
Baby, darling
Sa skiza nikwambie
Unajua kwako sioni wala sisikii
Yote sababu yako wee
I say baby, darling
Sa skiza nikwambie
Unajua kwako sioni wala sisikii
Yote sababu yako wee
I sing aah... I love you
I sing aah... I love you
I sing aah... I love you
Aah... I love you
Ah kwanza stop
I am sorry mi sio badman
Nimekuja kukupa makopa na love
Nitatunza siri mambo ya chumbani
Mi sio Uchebe mpenzi wangu ringa
Na niko radhi daima niishi na wewe
Mapaparazi wanaosema nikutawile
Hata kwa wazazi mimi niende na wewe
Wao wakune nazi, dona letu wenyewe
baby ooh baby
Nipe mambo ya kikubwa
Mwenzio mwenzio
Ya kitoto yananichosha
Baby ooh baby
Penzi linakaba huba
Mwenzio nipe o
Vikachori sambusa ee
I will die mwenzio oo
Baby, darling
Sa skiza nikwambie
Unajua kwako sioni wala sisikii
Yote sababu yako wee
I say baby, darling
Sa skiza nikwambie
Unajua kwako sioni wala sisikii
Yote sababu yako wee
I sing aah... I love you
I sing aah... I love you
I sing aah... I love you
Aah... I love you
Baby I love you nakupenda sana
Nitamwambia baba, nakupenda sana
I love you
Watch Video
About I Love You
More HAMIS BSS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl