Happy Birthday Lyrics
Happy Birthday Lyrics by DOGO SILLAH
Sillah
Rs family
Happy birthday to me
Woo woo woo wooo
Happy birthday to me
Woo woo woo wooo
Mi na feel good
Mi na feel happy
Nilipo toka siwezi elzea
Shukran ziende kwake jalali yoo
Maana nilipotoka ni mbali, nilipofika
Sina cha kukulipa Baba
Sina cha kukulipa mama
Mungu awabariki mmmhhh
Niko na vibe sio kitoto
Na leo nakesha popo
Leta keki ni zime moto
Na leo nakesha popo
Nawasha moto
Achene nijipongeze ajezeme
Happy birthday to me
Woo woo woo wooo
Happy birthday to me
Woo woo woo wooo
Kwangu haikuwa rahisi
Kuishi kwataka ufanisi
Nimejifunza mengi
Nimeyavuka mengi
Najua ajao sio rahisi
Mungu nifanyie wepesi
Nikuze panapo mema
Nionyesha yalio mema
Today i make a wish God nouse
God nouse, God nouse mmh
Niko na vibe sio kitoto
Na leo nakesha popo
Leta keki ni zime moto
Na leo nakesha popo
Nawasha moto
Achene nijipongeze ajezeme
Happy birthday to me
Woo woo woo wooo
Happy birthday to me
Woo woo woo wooo
Watch Video
About Happy Birthday
More DOGO SILLAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl