Mubashara Lyrics
Mubashara Lyrics by ABDUKIBA
Oooh ....oooh
Hisia kama mikuki zanichoma
Ndo maana kila time nakuwaza wewe
Kwa mahaba nayopata
Nahisi mpaka homa
Sichoki me kukesha nawe
Love more...Love more...
Love more...(iyeee)
Wapambe waache waongee usiku watalala
Na waambie wenye wivu maneno yasizidi mpaka
Mmmh mapenzi mubashara, mapenzi mubashara
Zidisha leo zaidi ya jana(zidisha leo zaidi ya jana)
Mapenzi mubashara, mapenzi mubashara
Nikomeshe leo nisipate la kusema(la kusema aaah...)
Niroge kwa limbwata mpaka nipagawe
Ila tu nisiokote makopo
Zidisha kipimo unachokiona wewe
Kwako me ni kama mtoto
Mama, toa jiko nje nipikee
Aaah nikimaliza vyombo nioshe
Tena sogeza kichwa nywele nikusukee(beiby)
Na tukimaliza twende bafu nikakuogeshee
Mmmh mapenzi mubashara, mapenzi mubashara
Zidisha leo zaidi ya jana(zidisha leo zaidi ya jana)
Mapenzi mubashara, mapenzi mubashara
Nikomeshe leo nisipate la kusema
(nikomeshe leo nisipate la kusemala kusema aaah...)
Aaah nipate la kusema...mimi iyeee
Nipate la kusema...beiby
Na mapenzi mubashara
Nipate la kusema...
Mapenzi mubashara
Nami nipate la kusema
Single Forever Classic
Watch Video
About Mubashara
More ABDUKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl