Shery Coco Lyrics
Shery Coco Lyrics by ABDUKIBA
My shery coco madanga tuchape viboko
Message bobo zima tuwakomoe komo
My shery coco nipe nijilie vinono
Tuwape viapo unizalie watoto
We tuliza ball ujana ni maji ya moto
Hawavumi wamo sokoro wa nini makoro
We tuliza ball na tuwe makini walai
Kweli wewe wa pekee
Acha mimi nijigambe
Nimelowa tepetepe
Akili mbili kasoro
Umenipunguza wenge
Mpaka tunafanana
Babe mi nishakwele
Nishakwele nishakwelewa
Piga pini piga ndele
Piga ndele ndelewa
Tusonge mbele kwa mbele
Kwa mbele kwa mbele mbelewa
Washamba wanaona gere
Nyogere nyogerewa
Eeh katika ngokoi
Katika ngokoi
Katika ngokoi
Katika ngokoi
Shika moyo wa mkataba
Walete choko choko unakaba
Umenitisha miji ni mahaba(Haba haba)
Nyoka hatulii pangoni
Pangoni pangoni
Akikuona hasikii haoni
Haoni haoni
Nipoteze wanisake kwa tochi
Wateseka wanasaga magoti
Bendera i nusu mlingoti
Kama kesi wakupeleke kwa korti ee
Najinenepea ameridhia
Nakula kisela, kisela kisela
Kidaruse daruse(Panda)
Daruse daruse(shuka)
Daruse daruse(Panda panda)
Daruse daruse(shuka)
Mchumba kiboko kibo
Kiboko boko kibo(Wewe)
Mchumba kiboko kibo
Kiboko boko kibo
Eeh katika ngokoi
Katika ngokoi
Katika ngokoi
Katika ngokoi
Watch Video
About Shery Coco
More ABDUKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl