Kilio Lyrics
Kilio Lyrics by DOGO SILLAH
Oh mama wacha kulia unanisononesha mimi mwanao
Si ulisema baba alikwenda day kututafutia
Sasa mbona hajarudi wakati ulisema atarejea
Miaka inazidi kwenda dunia inatuzonga
Mama nwe mgonjwa japo unasaidia
Miaka inazidi kwenda dunia inatuzonga
Mama nwe mgonjwa japo unasaidia
Mvua ikinyesha ni mpaka ndani
Mi sina wewe taabani
Yaani siamini taa imetuzimikia
Yeyeyeye...wowowowo...
Kilio ooh kilio, daddy lini atarejea?
Kilio ooh kilio, dunia imetuelemea
Kilio ooh kilio, wapi ulipo tunakungojea
Kilio ooh kilio, oh baba wewe
Siku zinakwenda na hatupati jibu
Maradhi nayo hayana matibabu
Huku Silah naye shuleni kapewa adhabu
Sasa inapata mwezi hatupati jawabu
Nikiangalia hali ya mama nakosa la kufanya
Maana mama mgonjwa sana na msaada hakuna
Laiti angekuwepo baba, yasingetokea
Mengine makubwa magumu kwa majibu yamezea
Na nyumba yenyewe tunayokaa
Mvua ikinyesha jaramba
Yaani kukimbizana aah mazonge
Baba wanao shida tumezoea
Gogwa kiuno baba zabwebwea
Kulala njaa mazoeaaa
Wasaka tonge, baba ah...
Kilio ooh kilio
Kilio ooh kilio
Kilio ooh kilio, dunia inatuzagabaa
Kilio ooh kilio, oh baba wewe
Watch Video
About Kilio
More DOGO SILLAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl