Te Amor Lyrics
...
Te Amor Lyrics by HAMIS BSS
Baniani kiatu chake dawa, nimempata mwingine
Anaenipa Raha
Mambo hadharani penzi halina Chawa
Nikafanye Nini kwingine kashaniweka sawa
Penzi Kuch Kuch HOTA eenh
Usiku hatulali si tuna kesha
Fundi anayaweza
Tulipo hamuwezi fika ata mpae
Tumefunga kufuli si hatujaegesha
Mbona mnateseka oonh my baby
Sweet my lovely kuwa na wewe ni bahati
Ata waseme,umeniroga mpaka mwisho sikuachi
Sweet teamor (oonh Mia mor)
Sweet teamor (oonh Mia mor)
Sweet teamor (oonh Mia mor)
Sweet teamor (oonh Mia mor)
Kukuudhi walahi Naogopa sitaki unune baby
Mwenzio kulia nshachoka nahitaji bebelezwa
Penzi chuma hata waje na shoka hawalikatikati baby
Uliyo yaanza yanatosha acha nimalize nawe
Penzi Kuch Kuch HOTA eenh
Usiku hatulali si tuna kesha
Fundi anayaweza
Tulipo hamuwezi fika ata mpae
tumefunga kufuli si hatujaegesha
Mbona mnateseka oonh my baby
Sweet my lovely kuwa na wewe ni bahati
Ata waseme,umeniroga mpaka mwisho sikuachi
Sweet teamor (oonh Mia mor)
Sweet teamor (oonh Mia mor)
Sweet teamor (oonh Mia mor)
Sweet teamor (oonh Mia mor)
Watch Video
About Te Amor
More HAMIS BSS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl