Busara Lyrics
Busara Lyrics by WALTER CHILAMBO
Jawabu la upole huigeuza hasira bali neno liumizalo huchochea ghadhabu
Midomo ya mwenye hekima hueleza hueneza
Maarifa bali moyo wa mpumbavu haufanyi hivyo
Mmh bwana bwana bwana nakuita bwana
Uliye mwama bwana nakwitaji bwana
Unaye badilisha nakutu tengeneza
Nanyenyekea kwako nanyenyekea kwako
Mimi nikama gari bovu wajua pakugusa ni wapi ni wake
Mi nikama kinda la ndege baba oh ukiniacha nitaliwa na mwewe
Ooh mimi nikama jumba bovu sijaezekwa na mkandarasi wangu ni wewe
Maana tunaangamia kwa kukosa maarifa
Nipe nipe nipe (busara)
Ooh nipe (busara)
Baba nipe maarifa na (busara nifanane nawe)
Nifanane nawe bwana ninaomba (busara)
Hekima yako na (busara)
Domo langu nalijua mwenyewe (busara nifanane nawe)
Macho yako bwana yako kila mahali yakichunguza mbaya na mwema
Mmh unitoe katika boma la miba maana ina choma
Na unifanye zao lenya faida nisiwe hasara tena
Unyenyekevu wako bwana (wako bwana) wakufanana (hakuna)
Nami unifanye vivyo hivyo (ooh bwana) unifinyange (sawa sawa)
Mimi nikama gari bovu wajua pakugusa ni wapi ni wake
Mi nikama kinda la ndege baba oh ukiniacha nitaliwa na mwewe
Ooh mimi nikama jumba bovu sijaezekwa na mkandarasi wangu ni wewe
Maana tunaangamia kwa kukosa maarifa
Nipe nipe nipe (busara)
Ooh nipe (busara)
Baba nipe maarifa na (busara nifanane nawe)
Nifanane nawe bwana ninaomba (busara)
Hekima yako na (busara)
Domo langu nalijua mwenyewe (busara nifanane nawe)
Nipe nipe nipe (busara)
Yesu nipe (busara)
Niondolee kiburi baba nipe (busara nifanane nawe)
Uuh sikunibeba kwa mbeleko hivo (busara)
Bali nitualize kwa neno lako (busara)
Bwana ninaomba hekima na (busara nifanane nawe)
Watch Video
About Busara
More WALTER CHILAMBO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl