Sipendelei Lyrics
Sipendelei Lyrics by KAYUMBA
Sipendelei
Mi Ni wako
Wakati penzi pendo lako huniekanga chini
Mbona mi mwenzako nakupenda sanaaaar
Tatizo lako wajitema pana
Njia yote ndani tunayapanga
Mi we na Mimi
Hauna Moto surutani
Mbona mi mwenzangu nakupenda sanaaaar
Tatizo lako najitema panar
Hizo mbwembwe insta
Sipendelei
Hizo mbwembwe insta Sipendelei
Tumbo joto ,,Tumbo unapotoka
Matusi kujibizana sijazoea
Mbona mi mwenzangu nakupenda sanaaaar
Sipendelei
Sipendelei
Sipendelei
Mi Ni wako
Wakati penzi pendo lako huniekanga chini
Mbona mi mwenzako nakupenda sanaaaar
Tatizo lako wajitema pana
Njia yote ndani tunayapanga
Mi we na Mimi
Hauna Moto surutani
Mbona mi mwenzangu nakupenda sanaaaar
Tatizo lako najitema panar
Hizo mbwembwe insta
Sipendelei
Hizo mbwembwe insta Sipendelei
Tumbo joto ,,Tumbo unapotoka
Matusi kujibizana sijazoea
Mbona mi mwenzangu nakupenda sanaaaar
Sipendelei
Sipendelei
Watch Video
About Sipendelei
More KAYUMBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl