Shotoa Lyrics

BRIGHT Tanzanie | Bongo Flava, Afropop

Shotoa Lyrics


Oooh sweety walai
Chochote unataka nitafanya
Umenipa ka lie
Drezy sina la maana
Sijui ni Chinese ama Korea
Kasura pilipina
Utamu kolea

Sema mi leo silali
Tasima ka mlinzi wa bepari (ooh haa)
Macho ya kuona mbali
Kaumbwa na sura nzuri (oooh mama)

Mtoto mtamu ka mombasa(eh)
Tena unanibinga bagaja(eh)
Lako nyuma milele (eh)
Nitakumbatia mapepe (eh)

[CHORUS]
Shotoa (shoto shoto) shotoa (eeh)
Shotoa (shoto shoto) shotoa (eeh)
Shotoa … Shotoa
Shotoa (shoto shoto) shotoa (eeh)


[VERSE 2]
Ukikubali nitakuhonga madola
Uwe wangu na wakora wasije pora
Moyo wangu ndu! Ndu! Ndu!  Nduuuu...
Unadundaga nga nga nga nga nganganga

Sema mi leo silali
Tasima ka mlinzi wa bepari (ooh haa)
Macho ya kuona mbali
Kaumbwa na sura nzuri (oooh mama)

Mtoto mtamu ka mombasa(eh)
Tena unanibinga bagaja(eh)
Lako nyuma milele (eh)
Nitakumbatia mapepe (eh)

[CHORUS]
Shotoa (shoto shoto) shotoa (eeh)
Shotoa (shoto shoto) shotoa (eeh)
Shotoa … Shotoa
Shotoa (shoto shoto) shotoa (eeh)

Bugarui umegeuka
Sadaka imegeuka kamarii
Shotoa
Shotoa
Shotoa

 

Leave a Comment