Tuombee (R.I.P Magufuli) Lyrics
Tuombee (R.I.P Magufuli) Lyrics by BRIGHT
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Binadamu kazaliwa kuishi na kifo
Dunia safari yenye njia ya moto na pepo
Hakuna anayejua kesho
Mwanzo hata mwisho wako
Hii dunia mapito
Tenda mema uhai wako oh oh
Mwili bila roho hakuna kitu
Leo kwenye uzima ye tunajisifu
Kilio na furaha tumeumbiwa watu
Tumshukuru Mungu kwa kila kitu
Eh eh eh eeeh eeeh
Eh eh eh eeeh eeeh..
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Kwa jasho Mungu atatupa
Mateso hujakusudiwa
Polepole safari utafika
Dhambi kukata tamaa
Tupendane, tusaidiane
Lako langu changu chako ndugu yangu
Tupendane tushikamane
Kilio na furaha mipango ya Mungu
Upendo dawa wote sawa
Maskini na tajiri mbona vyatugawa
Ye anatupenda sawa, tena ana huruma sana
Ubinafsi ndo unafanya tutende mabaya
Mwili bila roho hakuna kitu
Leo kwenye uzima ye tunajisifu
Kilio na furaha tumeumbiwa watu
Tumshukuru Mungu kwa kila kitu
Eh eh eh eeeh eeeh
Eh eh eh eeeh eeeh..
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Tuombee, tuombee, tuombee
Watch Video
About Tuombee (R.I.P Magufuli)
More BRIGHT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl