Demu Wangu Lyrics by BRIGHT


Masela namgharamia mwenzenu demu wangu
Nitatoa mahali awe halali yangu
Siwezi kuwa mbali naye ndio uhai wangu
Anapoza wangu moyo ye ndo tabibu wangu eh!
Nitadumu naye anavumilia shida na raha aah!
Nikiwa naye najitutumua navimba ni raha aah!

We ukijifanya kimbelembele nitaruka na wewe
Demu wangu pekeyangu kanipenda mwenyewe eeh
We ukijifanya kimbelembele nitauwana na wewe
Demu wangu pekeyangu kanipenda mwenyewe

Demu wangu, demu wangu
Demu wangu, demu wangu
Chonde chonde na demu wangu

Demu wangu, demu wangu
Demu wangu, demu wangu
Chonde chonde na demu wangu

Aaaaaaaaaaaah! aah! ah! ah! ah! aah!
Aah! ah! ah! aah!
Ana madoido kidogo napenda anavyotembea 
Aah! ah! ah! aah! mwendo wake malingo
Kinyonga amesingiziwa aah! ah! ah! aah!

Ana madoido kidogo napenda anavyotembea aah!
Aah! ah! ah! aah! mwendo wake malingo
Kinyonga amesingiziwa aah! ah! ah!

Me nakapenda dah! 
Kana kasura kazuri kama mdoli 
Baby vunja chaga katoto kashori shori
Sambusa kachori

Baby! nakupenda sana aah!
Mama mwaya na utaniuwa aya aah!
Baby mwaya nakupenda sana
Loketo mwaya na utaniuwa haya

Na ukijifanya kimbelembele 
Nitauwana na wewe eeh! eh!

Demu wangu pekeyangu kanipenda mwenyewe eeh
Ukijifanya kimbelembele nitauwana
Na wewe eeh! eh!
Demu wangu peke yangu kanipenda mwenyewe eeh!

Corus*

Demu wangu, demu wangu
Demu wangu, demu wangu
Chonde chonde na demu wangu

Demu wangu, demu wangu
Demu wangu, demu wangu
Chonde chonde na demu wangu

Aah! aah! ah! aah!  aah! aah! ah!
Me ni demu wangutu
Ndo roho yangu me, I love you

Jamani tamu tamu we tamu kama tamu
Tamu tamu we tamu kama tamu
Tamu tamu we tamu kama tamu
Jamani tamu tamu we tamu kama tamu

Tamu mama we tamu kama tamu
We dada saula dela saula mama
Na saula tena saula mama
Basi nafunua dela funua dada
Nafunua tena funua mama

Yeah amini kwamba Meja
Ah! Meja kunta Meja paa
Eeh nikiwa na aah!
Eeh! niko mwanangu Bright
Weeh mpende chizi
Eyo Kenny mbwa mwitu OG
Aweeh midfield Ndamla 
Na Ibrahim Ajibu, Ajibu

Watch Video

About Demu Wangu

Album : Demu Wangu (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 03 , 2021

More BRIGHT Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl