Gentleman Lyrics
Gentleman Lyrics by KAYUMBA
It’s another case
Labda amenisafiria malimbwata na mivuto sijui
Au mola amaenikutanisha na mama wa wanangu sijui
Maana moyo ameugaragaza, ameufanya nini sijui
Chake chungu siepui
Mambo poa sasa nitaoa aah
Salamu ziende kwa mama, mwanae nimekua aah
Mambo poa washikaji naoa aah
Ule utoto makuzi basi, wana,gu tumekua aah
Sikuhizi tunakwenda ki
Gentleman
Mmmh gentleman
Gentleman
I’m a gentleman
Gentleman
Mmmh gentleman
Ooh gentleman
Kama kweli una couple mposti mwenzaka
Uuh my babe lalalalalai, nafanya chochote ili nikuone ukifurahi
No excuse and no bye pass usijisema bye bye
Akinuna yes nambembeleza
Cause my joy
Nampa muda wangu namsikiliza it’s my joy
She’s my best friend
She’s my only one, african girl number one one
Yupo na gentleman
Mambo poa sasa nitaoa
Salamu ziende kwa mama, mwanae nimekua aah
Mambo poa washikaji naoa aah
Ule utoto makuzi basi, wana,gu tumekua aah
Sikuhizi tunakwenda ki
Gentleman
Mmmh gentleman
Gentleman
I’m a gentleman
Gentleman
Mmmh gentleman
Ooh gentleman
Kama kweli una couple mposti mwenzaka
Watch Video
About Gentleman
More KAYUMBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl