Coco Lyrics
Coco Lyrics by KAYUMBA
Baby coco, coconut
Huba limeshakolea kolea
Penzi si sigara kugongea gongea
Hayo mapepo kemea kemea
Coco kudeka deka kunanipa
Coco kananifit namaliza yote ila haishi
Coco -- kopo naye namba
Coco akitaka pipi namtolea na maganda tamu
One day ninaye ndoa, ye mama mi baba
One day ninaye ndoa, ye mama mi baba
Akiniacha nitapwaya, coco
Moyo umeshadesire, coco
Umenishika pabaya, coco
Nibatize niimbe choir, coco
Eh penzi lako fire, coco
Umenishika pabaya, coco
Moyo umeshadesire, coco
Nibatize niimbe choir, coco eh
One day ninaye ndoa, ye mama mi baba
One day ninaye ndoa, ye mama mi baba
Moyo ukipendaga hauna kificho
Nguvu ya penzi badili maandiko
Nibembeleze coco maneno mashiko
Uliponishika hapo hapo ndipo
Nilipata kama ukiwa na moja kanga
Nipe tena uone nilivyojipanga
Nipe vita ya chini nikupe ya anga
Kwenye kibanda changu ama nyumba ya kupanga
Si dhambi o, hukupenda kwako, hukupenda kwako
Mwenzio, nalala na yako photo, upande kulia kushoto
One day ninaye ndoa, ye mama mi baba
One day ninaye ndoa, ye mama mi baba
Akiniacha nitapwaya, coco
Moyo umeshadesire, coco
Umenishika pabaya, coco
Nibatize niimbe choir, coco
Eh penzi lako fire, coco
Umenishika pabaya, coco
Moyo umeshadesire, coco
Nibatize niimbe choir, coco eh
One day ninaye ndoa, ye mama mi baba
One day ninaye ndoa, ye mama mi baba
Umenishika pabaya, coco
Coco....coco...
Watch Video
About Coco
More lyrics from Sweet Pain (EP) album
More KAYUMBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl