Nimegonga Remix Lyrics
Nimegonga Remix Lyrics by KAYUMBA
Kayumba hapa
Na mtoto Bad
Eh mwenzenu nauza mboga, nauza mboga
Nauza mboga za majani
Mi mwenzenu nauza mboga, nauza mboga
Nauza mboga za majani
Biashara ina changamoto
Kutwa mi kelele ka mtoto
Inanimaliza uloto
Kuna muda peku peku tu ka mpoto
Mwenzenu nauza mboga, nauza mboga
Nauza mboga za majani
Na ndo maana kwa Mashalove (Nimegonga)
Kwa Rashida Wanjala (Nimegonga)
Ewe kwa jike shuka (Nimegonga)
Kwa Gigy hanaga noma (Nimegonga milango)
Ah! me muuza urembo ooh!
Toka kitambo naunga unga vifaa naeka kwenye rambo
Huu urembo una vijimambo
Huwezi uza bila kugonga milango
Ndo maana kwa Gigy Money (Nimegonga)
Kwa Paula Kajala (Nimegonga)
Ooh Wema Sepetu (Nimegonga)
Kwa Linah hanaga noma (Nimegonga milango)
Niligonga kwa Amber Rutty
Kafungua mlango wa nyuma
Niligonga kwa Amber Rutty
Kafungua mlango wa nyuma
Akanunua Vi hereni na virangi
Pakee mwenyewe akasema ye hawezi
Nikampaka, nikampaka, nikampaka, nikampaka virangi
Nimegonga, nimegonga milango
Huyu dada kaanza kudanga (Mbona bado mdogo)
Anasifika kwa umalaya (Mbona bado mdogo)
Mzoefu kukalia chupa (Mbona bado mdogo)
Humjui hakujui (Jikilie acha shobo)
Kuna vidume haviwezi mechi uongo
Havishindi goli eti bila mkongo
Kamuulize Shalala boy msondo
Wanaume wa Dar ndo yao michongo
We mshike mshike mshike ndege tunduni
We kachuma ndizi na bado iko mkunguni
We mshike mshike mshike ndege tunduni
We kachuma ndizi na bado iko mkunguni
Hunidai Dobo, sikudai
Hunidai G mauzo, sikudai
Hunidai Wasowiso, sikudai
Hunidai G maker, sikudai
Ukinichukulia bwana, wewe dada tutauwana
Ukinichukulia bwana, wewe dada tutauwana
Ukinichukulia demu, mwanangu tutauwana
Ukinichukulia demu mwanangu tutauwana
Yeah umo umo
Ah chichi chichi ndo kidicho
Chichi ndo kidichi
Chini mkono wa picha
Nimegonga! Nisalimie Mkojani
Nimegonga! Wapi Dj Aiih
Nimegonga! We Jay Stereo nisalimie Muraq Dady
Utawauwa aah! Nimegonga milango
Watch Video
About Nimegonga Remix
More lyrics from Sweet Pain (EP) album
More KAYUMBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl