Muacheni Diamond Platnumz Lyrics
Muacheni Diamond Platnumz Lyrics by MON STAR
Alianza kama utani
Mungu si adhumani sauti akajibu
Leo ni kipenzi cha watu
Sio mwingine ni Diamond
Alikuwa hatamaniki masikini
Alitafuta bila majibu
Lau sio mwingine eeh eh eh
Ni Diamond
Mungu hamtupi mja wake
Akamweka kwa nji yake
kwa vile alitafuta sana
Bila kukata tamaa
Hivi ni koo cha wengi
Na tunajivunia kumpata Diamond
Mmmh kimbilio la wengi
Ndoto zao akazishika Mondi
Akapata kidogo akaona sio kesi
Kamshika Mbosso, Rayvanny na Jeshi
Lavalava, Zuchu na tunawaona
Nikisema niseme yote nitamaliza vitabu
Kama misaada mingi hadi nashindwa kuhesabu
Na poleni kwa wanaowapa taabu
Hasa mkisieni ikipigwa baba lao
(Eeh Mondi Baba Lao)
Muacheni, ooh muacheni
Muacheni, ooh muacheni
Ooh muacheni, oh muacheni
Leo kila kona mtamsikia (Diamond)
Pande zote za dunia (Diamond)
Huenda ya cheka atafurahia (Diamond)
Dada zetu wanamzimia
Mixer mimba kumsingizia
Skendo kibao wanamzushia aah aah
Na wapo walosema mengi kumhusu yeye
Wala hajibu
Wengine wanaweka ligi
Kushindana naye huyu bwana Naseeb
Nikisema niseme yote nitamaliza vitabu
Kama misaada mingi hadi nashindwa kuhesabu
Na poleni kwa wanaowapa taabu
Hasa mkisieni ikipigwa baba lao
(Eeh Mondi Baba Lao)
Muacheni, ooh muacheni
Muacheni, ooh muacheni
Ooh muacheni, oh muacheni
Watch Video
About Muacheni Diamond Platnumz
More MON STAR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl