Sara Lyrics
Sara Lyrics by MACVOICE
Sei moi per sempre
So solo ti teamo mamamaamaaa
Nimeongea iugha ya kwenu
Sara si tunaerewana
Ti amo tanto
Mina wewe tunaendana
Tupate katoto halfcast
Katuite Baba na mama, kakuacha peke yako
Usiwe peke yako, sara hupendezi hivyo
Nikiona picha zako, yani mi mwenzako
Ninakuwa ndezi ivyo
Basi nipe moyo wako, fanya niwe wako
Maana sijiwezi ivyo
Basi beba vitu vyako, Italy kwako
Sara uje mbezi ivyo
Sara ooooh, sara ooooh, sara ooooh, sara
Sara ooooh, sara ooooh, sara ooooh, sara
Sara ooooh, sara ooooh, sara ooooh, sara
Sara ooooh, sara ooooh, sara ooooh, sara
Nywele mpaka mgongonii sara
Una tattoo kiunoni sara
Amekuchora mkononi fala, asa kwanini anakuumizaa
Kwao wanalima korosho
Ila ufundi wake michosho
Alikupendea posho
Sarah mi takupa moyo hadi kongosho
Hana fadhila mtemee
Najua ulimuhonga mapene
Chumbani ananizidi unene
Ila sio miuno sebene
Sarah wowowoooo
Sarah ouoooh
Sara oooh ooooh
Kakuacha peke yako, usiwe peke yako
Sara hupendezi hivyo
Nikiona picha zako, yani mi mwenzako
Ninakuwa ndezi ivyo
Basi nipe moyo wako, fanya niwe wako
Maana sijiwezi ivyo
Basi beba vitu vyako, Italy kwako
Sara uje mbezi ivyo
Sara ooooh, sara ooooh, sara ooooh, sara
Sara ooooh, sara ooooh, sara ooooh, sara
Sara ooooh, sara ooooh, sara ooooh, sara
Sara ooooh, sara ooooh, sara ooooh, sara
Watch Video
About Sara
More MACVOICE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl