Only You Lyrics
Only You Lyrics by MACVOICE
(Mocco)
Mbona mimi sijui?
Nina nini sijui?
Umenipa nini kidawa?
Kila nachofanya ni sawa
Akipa ni chakula muda wa kula
Yaani mpaka unilishe
Usiku usingizi sina
Mpaka ulale wewe, aah
Una uzuri wa sura
Na hio chura ufundi usizidishe
We ni size yangu
Kina twaendana wewe
You be there for me my baby
I be there for you my baby
Baby wewe ni wangu
Mapenzi hayana kipimo
Mimi na wewe tu kucheat no
Nishadondosha wino
Nishadondosha wino
Only you, only you
Only you, only you, only you
Only you, only you
Only you, only you, only you
Mungu anaumba, Mungu anachora
Mungu anayakatakata maumbo
Mungu anafumba
Mola kakujazajaza nyama rundo
Si ndo maasi kokoto
Vimacho vyako changarawe
Mwili homa nahisi arosto
Tuanze kula ndo tunawe
My chioma my tototo
Ukinimwagia sandakalawe
Sodoma nauona moto
Ukibiduka paranawe
Mwarubaini ni dawa ya tumbo
Usiichanganye na sukari, ooh na sukari
Nimebaini penzi ni fumbo
Si maandishi ya daftari
Ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
We ndo mamilove
We ndo mamilove
Mapenzi hayana kipimo
Mimi na wewe tu kucheat no
Nishadondosha wino
Nishadondosha wino
Only you, only you
Only you, only you, only you
Only you, only you
Only you, only you, only you
Watch Video
About Only You
More MACVOICE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl