Karibu Ruvuma Lyrics
Karibu Ruvuma Lyrics by FOBY
Ukitaja Mahali sinazovutia
Nchini Tanzania huwezi acha Ruvuma
Ukitaka Mahali zenye vivutio
Huwezi acha Ruvuma aah aah
Kuna aina Mia 400 za samaki
Ziwa nyasa
Tena samaki wa mapambo
Tumebarikiwa Madini
Ya Vito na Uranium
Makaa ya mawe na Dhahabu
Ruvuma Imeiva Imeiva
Kwa uwekezaji
Tunawakaribisha karibisha
Mje kuwekeza
Ohhh karibu
Karibu Ruvuma
Ohh Karibu
Karibu Ruvuma
Ukitaka Uvuvi ukitaka kilimo
Karibu Ruvuma
Karibu Ziwa Nyasa
Karibu Ruvuma
Haiyeeeee Haiyee Mama
Haiyeeee haiye mama
Haiyeeee haiye mama
Hii ndo Ruvuma Ya Ibuge
Haiyeeeee Haiyee Mama
Haiyeeee haiye mama
Haiyeeee haiye mama
Jua Ruvuma ni kapu la Chakula La taifa
Ardhi kubwa nzuri,Inayomiliki mazao lukuki
Soya ,Korosho,kahawa,Mahindi
Usisahau kuna hifadhi ya taifa
Ya mwalimu nyerere Ruvuma
Ambayo Inapitanamtumbo na tunduru
Na tena Tuna makumbusho ya taifa
Pale mahenge songea
Yaliyosheheni Kumbukumbu za mashujaa wa majimaji
Kuna pori la akiba liparamba
Lililopo nyasa
Lenye tembo wahamiaji na simba weupe
Kuna mto ruvuma
Uloanza milima ya matogoto
Unaomwaga maji bahati ya hindi
Karibu Ruvuma
Ohhh karibuu
Karibu Ruvuma
Oh Royal tour na Ruvuma
Karibu Rubuma
Karibu Mama Samia
Karibu Ruvuma
Haiyeeeee Haiyee Mama
Haiyeeee haiye mama
Haiyeeee haiye mama
Hii ndo Ruvuma Ya Ibuge
Haiyeeeee Haiyee Mama
Haiyeeee haiye mama
Haiyeeee haiye mama
Watch Video
About Karibu Ruvuma
More FOBY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl