
Taarifa Lyrics
...
Taarifa Lyrics by OBBY ALPHA
Eeeeeh eeeeeh
Leo
Nimepokea taarifa
Kutoka mbinguni
Juu ya maisha yangu
Maana
Maombi yamevunja ukuta
Toka duniani
Yamefika mbinguni mmmh
Sasa sijui nishangilie aah
Au nifanye sherehe
Na wote niwaite aaah aaaah
Au ninani nimsimulie aaah
Huu muda wote aaah
Nilio subiria eeeh
Aaaah aaaahhh
Mbingu zimenisikia
Leo nimejibiwa
Maombi yangu
Kwa machozi nilipanda
Leo navuna
Ahsante mungu
Mbingu zimenisikia
Mbingu zimenisikia
Leo nimejibiwa
Maombi yangu
Kwa machozi nilipanda
Leo navuna
Ahsante mungu
Na nimebarikiwa mashambani haaaaeeeh
Nimebarikiwa na mjini haaaaeeeh
Nimebarikiwa niingiapo haaah
Na nimebarikiwa nitokapo haaaah
Na nimebarikiwa mashambani haaaaeeeh
Nimebarikiwa na mjini haaaaeeeh
Nimebarikiwa niingiapo haaah
Na nimebarikiwa nitokapo haaaah
Sasa sijui nishangilie aah
Au nifanye sherehe
Na wote niwaite aaah aaaah
Au ninani nimsimulie aaah
Huu muda wote aaah
Nilio subiria eeeh
Aaaah aaaahhh
Mbingu zimenisikia
Leo nimejibiwa
Maombi yangu
Kwa machozi nilipanda
Leo navuna
Ahsante mungu
Mbingu zimenisikia
Mbingu zimenisikia
Leo nimejibiwa
Maombi yangu
Kwa machozi nilipanda
Leo navuna
Ahsante mungu
Watch Video
About Taarifa
More OBBY ALPHA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl