Handsome Lyrics by DAYOO


Yaah, say
Naitwa mangi
Onana eeh
Handsome, handsome oyeah
Handsome, handsome

Kwanza sina makuu
Sura inajieleza, na
Sibagui nguo vyoyote napendeza, hao
Madada duu wanatokwa udenda, mm na
Nikifika tu wanajisogeza
Na sio salio, naongwa hadi mikoko
Mamiloo midundo wanaleta shobo
Eti dadio Dubai kuna party
Njoo, sina hizo buyu nala bati joh
Madada wanajikweza
Waje ishi na mie eee
Wanajikweza ah waje ishi na mie ee
Call me

Handsome handsome handsome
Handsome handsome handsome
Handsome handsome handsome

Okey
Nasifika kwa mapenzi na mademu
Kila kona sasa wananita handsome
Nasifika kwa mapenzi na mademu
Kila kona sasa wananiita handsome
Yeah
Taarifa za mimamam nazipata, za vibinti nazipata
Sio kuhongwa nilishapelekwa dubai kula bata
Na ticketi zikakatwa kil akitu bila shaka
Sura mabaya ni kitambo wewe sasa hivi nshapita
Puya ka nimeoga manukato
Pua yangu ikitokeza wanagongesha macho
Pisi yoyote kunipata lazima itoke jasho
Na mwendo wangu unaweza sema naenda kiminyoto
Fake smile unaweza sema natafuta kumbato
Pisi kali huna kibunda utakula kwa macho
Kwenye pesa kuna raha sileti minato
Peleke sana moto wakapeane michapo
Na ndiyo sababu sina demu misala haiishi kutongozwa na mashemu
Birthday kila mwaka zawadi kemkem
Mpaka namwagika pesa kama chem chem
Dm nyinhi nachanyikiwa sifa zote nikwa mungu nimebarikwa
Sura bango imetakata ka’naogea maziwa
Wagombewa mimi napapatikiwa umesikia

Handsome handsome handsome
Handsome handsome handsome
Handsome handsome

Watch Video

About Handsome

Album : Handsome (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Nov 04 , 2022

More DAYOO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl