
Ramadan Kareem Lyrics
...
Ramadan Kareem Lyrics by HAMIS BSS
Naitwa Bwaka
Ramadhani salama
Ramadhani salama
Mmnh
Ramadhani ya karima Ramadhani
Huu ni mwezi wa Neema
Katuletea karima Ramadhani
Tufanye yaliyo mema Ramadhani
Ramadhani ya karima Ramadhani
Huu ni mwezi wa Neema
Katuletea karima Ramadhani
Tufanye yaliyo mema Ramadhani
Tufunge na kuswali tumuombe mola jalali
Atuepushe na shari Majaribu na mitihani
Maisha yenye Amani yapo kwa mola jalali
Tuzishinde na nafsi tusifate ya shetani
Allahumaswali ala muhammad yarabi swali alei wasalim
Allahumaswali ala muhammad yarabi swali alei wasalim
Ramadhani ya karima Ramadhani
Huu ni mwezi wa Neema
Katuletea karima Ramadhani
Tufanye yaliyo mema Ramadhani
Ramadhani ya karima Ramadhani
Huu ni mwezi wa Neema
Katuletea karima Ramadhani
Tufanye yaliyo mema Ramadhani
Allahumaswali ala muhammad yarabi swali alei wasalim
Watch Video
About Ramadan Kareem
More HAMIS BSS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl