Basi Lyrics
...
Basi Lyrics by HAMIS BSS
Mashaallah penzi lake noma,utamu ukizidi napataga homa
Sioni karaa break zimegoma,safari ikwilili kilwa somanga
Nikilala mapema msinione bwege ana nibembeleza,guitar mixer zeze
Penzi Lina jieleza sina haja nitambe wallah nadekezwa,msiloge ili niachwe
Taratibu mwenzio Bado ndio safari ina anza nanogewa
Usinishushe katikati kituo usipilize Mimi nasinzia
Basi nibebeshe nibebeshe (mapenzi nitayabeba)
Aanh Usinileweshe Usinileweshe (mbwi nikalewa)

Baridi penye baridi mtamu ana joto joto kwenye baridi
Nakupenda sana unavyo lamba lolo ipigwe dua kunuti hatuachani ng`o
Taratibu mwenzio Bado ndio safari ina anza nanogewa
Usinishushe katikati kituo usipilize Mimi nasinzia
Basi nibebeshe nibebeshe (mapenzi nitayabeba)
Aanh Usinileweshe Usinileweshe (mbwi nikalewa)
Basi nibebeshe nibebeshe (mapenzi nitayabeba)
Aanh Usinileweshe Usinileweshe (mbwi nikalewa)
Watch Video
About Basi
More HAMIS BSS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl