
Bongo ft Tx Dullah Lyrics
...
Bongo ft Tx Dullah Lyrics by KONTAWA
Foka black and white
Mh me nachekaga tu
Duniani ukitaja watu wenye tabia fyongo
Kuna wana wa israeli alf kuna wabongo
Eh ila wabongo jamani bongo
Hii nchi bora ukose chakula la sio kabando
Nishaanbiwa sana sana
Kwamba tutunze wanyama
Ila zuchu kampenda simba
Kaonekana king’ang’a
Oya bongo ni majanga
Yani kutwa ni visanga
Ata mwanaume wa shoka akijichanganya anikufa kwa panga
Yani kama manara wanavyomwandama hii bongo nuksi
Eti kaoa mke mrefu alafu ndoa fupi
Kweli bongo sio poa mpaka jiki mnaitia madao
Nimelala peke yangu naamka nakuta nimeona
Jamani bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo (bongo)
Jamani bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo (bongo)
Bongo dada anaetafuta na kupigapiga vitenda
Huyo anaitwa malaya siku akionekana amejenga
Bongo unapata pisi kali
Kama tunda unalipenda
Alafu anakuja kugundua
Tunda shosti yake blenda
Bongo kuna makabila ukiyaoa umevrongi
Maana mkiachana unatungiwa masongi
Mtu kwake kapangisha kaja kwako kumbonji
Ukimwuliza anasema nvumbani lounge
Ukiskia wagambo wanaruka na kakanvagana (bongo)
Kiwete anapga dana dana (bongo)
Embo anapita njia za panya (bongo)
Bongo bongo bongo
Ukitaka watu wanaojua kubanaa (bongo)
Mambo mengi watakuchanganya (bongo)
Mtu anakula wiki nzima hajanya
Bongo bongo bongo
Jamani bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo (bongo)
Jamani bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo bongooo (bongo)
Bongo bongo (bongo)
Bongo joto na tushazoea hyo hali
Mpaka lamata analalamika
Unasema bongo jua kali
Yani kutwa kuchakarika
Watu wanatafuta visalalii
Huku kurwa mapikipiki
Kule kuna doto magari
Nasema bongo sihami (bongo)
Nyumbani nyumbani (bongo)
Watu hawana utani wanatafuta mademu msibani (bongo)
Watch Video
About Bongo ft Tx Dullah
More KONTAWA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl