Champion Lyrics
Champion Lyrics by KONTAWA
Jam on the beat
Eeh
Oya mitaa niliotoka police wanauza Congo
Atauwe mkweli uwezi ishi bila uwongo
Mlo mmoja nab ado tulibera nondo
Na maisha yakasonga tu eeh
Ili sabuni zisiishe tulinyoa madongo
Tukala ùaharage adi tukacheza juu ya nondo
Oyah situmetokea bongo na maisha yana songa tu oh yea
Nishazika wanangu nilio wapenda
Ukija mtaani kwangu kutwa difenda
Kukimbizana january mpaka december
Chumba kimoja analala dada na kaka
Watu awatupi msosi ata ukichacha
Baba chambazi motto anajiuza mtaani
Mama mchawi nyumbani atabaki nani
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Tumeishi na watu wanao amini kwenye mpango wa mungu kuna mkono wa mtu
Tumeshi na watu wanao amini sikukuu ndio siku ya kuchinja kuku
Ooya wee
Tumeishi na watu ambao walitembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku
Tukaishi na watu wanao amini bahati bahai zote alipangiwa bukuku
Apo mwanzoni waliamini atutopata mafanikio
Walio tugagilia wakauza mafagio
Eeh mtaani kwetu sio
Mtu aliye toboa sana alitoboa sikio
Chumba kimoja analala dada na kaka
Watu awatupi msosi ata ukichacha
Baba chambazi motto anajiuza mtaani
Mama mchawi nyumbani atabaki nani
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Champion champion
Hu wimbo unanikumbusha mbali
Kipindi naitwa ima dharau kejeli manyanyaso ka yatima
Na ivyo vime nikomazampaka leo nasimama
I thanks God kwa hii power na heshima
Nishatembea kwa miguu toka manzese mpaka temeke
Kuomba nafasi yakuimba nayo bado sipati
Dharau zao na manyanyaso zilifanya tama nisikate
Daa pumzi inakata koo linakauka
Na bahati mbaya mdomoni sina mate nikapiga moyo konge nikaomba mungu niongoze
Nikaweka nia kwamba mziki utanilisha, mziki utanivisha mzikki utanitajirisha
Maisha ya zamani ayafanani na yasasa
Naitwa raisi wa kitaa
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Champion champion champion
Aaa yeeeh I’m the winner
I’m the champion
Champion champion champion
Watch Video
About Champion
More KONTAWA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl