Lamba lolo Lyrics by BEKA FLAVOUR


Go down ati nini?
Lamba lolo, lamba unyayo
Go down...Mafia

Ye kitandani fundi, akipangua me napanga
Ila miepo ya bundi, temeke napiga mapanga
Nimenasa kwa gundi, kanituliza kilanga
Machenga chenga sipigi, nimetuliza kananda

Yeah, 
Kwako sipingi, we refa piga firimbi(Iyee)
Kiishe kipindi, zungusha kataka maringi(Iyee)
Shika ngingingi, zunguka msambwanda shangingi(Iyee)
Lamba mbilimbi, kisimani ishazama shilingi(Iyee)

Go down(Ati nini? lamba lolo
Go down, lamba lolo
Go down, lamba lolo
Go down, lamba lolo

Sukari guru, toto noma la kinyaturu
Mie na ukandu guru, nimezama yote maguru
Natima mpaka ikulu, anavyojua kupiga nduru
Amenipaga uhuru, mie kuchezeaga furu

Mmmh, kamanzi kamenikamata
Kwake mi sina mashaka
Hatuchoki kuchanga karata
Tunakimbizana mchaka mchaka

Amejizima na data
Hataki message utata
Navyompa mie vyamtosha ye
Ananipa ngulu na supu ya papa

Yeah, 
Kwako sipingi, we refa piga firimbi(Iyee)
Kiishe kipindi, zungusha kataka maringi(Iyee)
Shika ngingingi, zunguka msambwanda shangingi(Iyee)
Lamba mbilimbi, kisimani ishazama shilingi(Iyee)

Go down(Ati nini? lamba lolo
Go down, lamba lolo
Go down, lamba lolo
Go down, lamba lolo

Simama, japo kidogo 
Waonyeshe yako majonjo
Binuka, pinda mgongo
Waone lako gongingo

Zungusha kidogo 
Uno la tanda, eeh iyee, uno la tanda
Fanya kuinama
Mahindi panda, oooh uo, mahindi panda 

Kidogo chutama
Kama unataga, oooh iyee, kama unataga
Shasha
Piga msamba, piga msamba 

Ahaaa...mama
Ati nini? Mambo ya kukuniwa nazi
Lamba lolo, Afya ni moto balaa
Hatari fire

Watch Video

About Lamba lolo

Album : Lamba lolo (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights t the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 17 , 2019

More BEKA FLAVOUR Lyrics

BEKA FLAVOUR
BEKA FLAVOUR
BEKA FLAVOUR
BEKA FLAVOUR

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl