Sitakuacha Lyrics

DR IPYANA Feat GWAMAKA MWAKALINGA Tanzanie | Gospel,

Sitakuacha Lyrics


Sitakuacha
Umenionyesha wema wako
Halleluyah
Sitakuacha sitakuacha 

We worship you,
Thankyou for exceeding joy
Thankyou for your cloud in this life

Ninakushukuru Yesu 
Natukuza jina lako
Wewe ni kila kitu, kwangu
Nionyeshe sura yako
Nikujue zaidi Bwana

Sitakuacha(sitakuacha) 
Sitakuacha(umenionyesha) 
Umenionyesha wema wako

Halleluyah

Sitakuacha(Halleluyah)
Sitakuacha(nimeona wema wako) 
Umenionyesha wema wako

Sitakuacha sitakuacha
Oooh sitakuacha 

We mzaa wa siku Alpha Omega
Mwanzo na mwisho wa imani Yetu
Ulikuwapo upo utakuwapo

Sitakuacha sitakuacha
Umenionyesha wema wako
Umenionyesha wema wako

Sing it like you mean it

Sitakuacha sitakuacha
Sitakuacha sitakuacha
Nimeuona wema wako
Umenionyesha wema wako

Sitakuacha sitakuacha
Uuuuh uuu uuuuh
aah aaaah

Umenionyesha wema wako
Sitakuacha sitakuacha
Umenionyesha wema wako

Leave a Comment