Hawajui Lyrics
Hawajui Lyrics by HASSAN MAPENZI
Hawajui we ndo wife material
Nisipokuona kwangu ni kilio
Hawajui we ndo wife material
Nisipokuona kwangu ni kilio
Ndo walivyo walimwengu ndo walivyo
Ndo walivyo mama oo
Si tufanye yetu usiogope lolote
Ndo walivyo mama oo
Hawapendi kuniona niko nawe najidai ii
Nia yao tufaragane ndo wafurahi
Waja wanakaa kaa vikundi watie dosari
Labda wanatamani ije siku tuishi mbele
Hawajui kwa wewe ndo mama
Mi kwa wewe ndo baba
Hawajui kwa wewe ndo mama
Mi kwa wewe ndo baba
Wanaumia wanaumia, wanaumia wanaumia roho
Oh penzi letu sisi, linawatoa roho
Wanaumia wanaumia, wanaumia wanaumia roho
Vijiba vya uso tunawakunga nyoo
Wanaumia wanaumia, wanaumia wanaumia roho
Hawapendi mimi kuwa na wewe
Wanaumia wanaumia, wanaumia wanaumia roho
Hawajui we ndo wife material
Nisipokuona kwangu ni kilio
Hawajui we ndo wife material
Nisipokuona kwangu ni kilio
Kama Milika ashashinda mikanda
Dozina kashalala
Sikudanganyi kwa kimoja kibanda
Eti nimejanga sala sala
Atu eti maisha wenyewe tumeridhiana
Mola akipenda siku zijaje twaoana
Hawajui kwa wewe ndo mama
Mi kwa wewe ndo baba
Hawajui kwa wewe ndo mama
Mi kwa wewe ndo baba
Wanaumia wanaumia, wanaumia wanaumia roho
Oh penzi letu sisi, linawatoa roho
Wanaumia wanaumia, wanaumia wanaumia roho
Vijiba vya uso tunawakunga nyoo
Wanaumia wanaumia, wanaumia wanaumia roho
Hawapendi mimi kuwa na wewe
Wanaumia wanaumia, wanaumia wanaumia roho
Hawajui we ndo wife material
Nisipokuona kwangu ni kilio
Hawajui we ndo wife material
Nisipokuona kwangu ni kilio
Hawajui kwa wewe ndo mama
Mi kwa wewe ndo baba
Hawajui kwa wewe ndo mama
Mi kwa wewe ndo baba
Hawajui we ndo wife material
Nisipokuona kwangu ni kilio
Hawajui we ndo wife material
Nisipokuona kwangu ni kilio
Watch Video
About Hawajui
More HASSAN MAPENZI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl