Champion Lyrics
Champion Lyrics by FID Q
Wewe mwana usitoke kwetu weeh
Hizi zote ni Mila zetu weeh
Sisi washindi wa vizazi vyetu weeh
Kama ni yako lazima uchukue
Vile nina discipline hata ukinidiss mimi
sileti shazi , sikuweki wazi kwenye big screen
Ninasaka chi- ching... ninafanya big tings
kazi kazi.. nyie waduanzi hamnishushi mimi
Mie ni striker mwenye kiu ya kuitikisa nyavu
Mie ni fighter.. kauli mbiu ni kuwashikisha adabu
Taita mwenye mbio zisoumiza pafu
Kama BAISA ukiwa na mlio ukiniita mie ninarapu
Na nikitema sixteen au hata nyingi bars
Ninarushiwa g-strings.. shilingi au hata bras
Mixa shangwe nyingi, applause picha wanipambe mdingi
ofcoz watambe wako na king wa flows za kibabe wawachape paa
Mablingbling.. mie huwaga sipendi yavaa
Nimejaa madi dini.. kichwani mengi sa(na)
na ninapowin win
ninaona macho ya chini chini
kama msako wa kingpin
mie na hustle ni twin twin
Haters wananuna why sijalegeza? Mayn
Haupaswi kupuuzwa kama hauna cha kupoteza
Na hata kama ni fedha nyingi nitashika
na kutekeleza yale ya msingi kila dakika
Ninaikumbuka shida mavumba nikishika
Ninawasafisha walionichafua
walioniombea njaa ninawalisha na kuwanyanyua
Walioniangusha walioniliza ninawafuta chozi
Walionidhulumu wakinikopa ninawalipa ofcoz
kero za kelele ninazijua
Na sio kila kinacho kusongesha mbele ni hatua
sure.. kwani..haujawahi kugomewa na break za gari pindi ukiwa mlimani ?
au kwenye spidi kali na vigingi havionekani
Ukapona ajili ya dua za wale witness kwa njia
Kumruhusu mdhaifu akukere hiyo ni weakness pia
Kuna mambo hayaji bila fosi.. hivyo ukipozi utanywea
Na kwangu uhuru si chochote ikiwa hautoniruhusu kukosea
The view is nice from where I stand
Nilipigana till the end
I am a champion
I heard them say
I’m a champion yeah yeah
Simuoni wa kunishinda
Daily ninawin..ninautwaa ubingwa
I am a champion
I heard them say
I’m a champion yeah
Yule mnyama aliyekuja juzi ndio yule yule bwana weeh
Jikaze upate ujuzi.. na usitoke bure bwana weeh
Usije kufa kiboyo
Kutwa kucha kwa kigodoro
Kukaba kwa vichochoro
Usiitafute kasoro wowooo
The view is nice from where I stand
Nilipigana till the end
I am a champion
I heard them say
I’m a champion yeah yeah
Simuoni wa kunishinda
Daily ninawin..ninautwaa ubingwa
I am a champion
I heard them say
I’m a champion yeah
Sisi washindi wa vizazi vyetu weeh
Watch Video
About Champion
More FID Q Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl