Hiyo Ndio Mbaya Lyrics
Hiyo Ndio Mbaya Lyrics by BEN POL
Nilijua utanifaa
Maisha yangu yote mi nilikupa
Umevunja moyo mpaka mifupa
Ulichokifanya mwenzako najuta (Eeeh..)
Nilikupenda sana nikakuweka moyoni
Mengi uliyofanya nikajifanya siyaoni
Kurudi late na mitungi kichwani
Kila siku visa tu na visirani
Mepenzi ya utumwa siyawezi acha mi niende zangu
Nilichofunzwa mapenzi sio kupiga mwenzangu
Onyesha wivu wa mapenzi kwa mwenzio
Kama unampenda kweli
We unampenda ya hakupendi
Hiyo ndo mbaya
Akijifanya anakupenda sana
Hiyo ndo mbaya
Kumbe mwenzako anakudanganya
Hiyo ndo mbaya
Alafu moyo utauma sana
Hiyo ndo mbaya
Mwisho wa siku mkibwagana
Hiyo ndo mbaya hiyo
Ah Tamimu hapa nikiwa na Ben Pol
We meneja Sakio, weka
Katikati nione vumbi, bado sijaona
Mwendo wa shisha na tungi, bado sijaona
Wanangu huwa hatujivungi, bado sijaona
Tumepagawa hatuyumbi, bado sijaona
Ua langu vipi? (Eeeh)
Ua langu vipi? (Waaah)
Tafuta wa kucheza naye
Pandisha ibilisi
Ua langu vipi? (Eeeh)
Ua langu vipi? (Poa)
Tafuta wa kucheza naye
Pandisha ibilisi
Aya timua vumbi timua, timua
Timua timua timua, timua
Aya timua vumbi timua, timua
Katikati timua, timua
Weka mikono juu wote zungusha dadeki
Kama una kichuguu waonyeshe ukipiga deki
Ongeza vibe washa moto, washa moto
Hili goma si la kitoto, si la kitoto
Pita chocho kwa chocho, chocho kwa chocho
Na tukawashe moto, tukawashe moto
Waonyeshe ulivyopagawa
Akikushika ndo balaa
Kama una mbinu za mida
Komesha wanaume wadau
Mtu mzima najiweza
Cheki navyoteleza
Ngoma naipiga mwenyewe
So siogopi kuicheza
Kajalewa anayumba
Ndo zake dunga dunga
Kuvizia wachumba
Dawa zake zimedunda
Watch Video
About Hiyo Ndio Mbaya
More BEN POL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl