Pwita Lyrics
...
Pwita Lyrics by ZUCHU
Wa rohoni
Ukweli kabisa nakukunda chane
Hapa moyoni
Peke yako umekaa your the only one
Ayaaya
Nawataarifu nimempata mwenyewe
Huyu ndo anaenifaa
Na nisitake kitu lazima tu nipewe
Msione nawakataa ayaaa
Nami naahidi mmmh (nami naahidi yakhee)
Chaguo langu ni wewe (chaguo langu ni wewe)
Sina wa zaidi aah (sinaa sinaa)
Nitakupenda milele eeh
Pwita pwita, pwita pwita
Pwita pwita, moyo unanipwita pwita
Pwita pwita, pwita pwita
Pwita pwita, moyo unanipwita pwita
Tunaendanaaa
Tamuoni hata mkitutazama
Tunapendanaaa
Mi nae kufa kuzikana
Ananiâ tende nampa asali (asali)
Mpende msipende wala sijali (sijali)
Nami naaa
Nami naahidi aahhh (nami naahidi yakhee)
Chaguo langu ni wewe (chaguo langu ni wewe)
Sina wa zaidi aah (sinaa sinaa)
Nitakupenda milele eeh
Pwita pwita, pwita pwita
Pwita pwita, moyo unanipwita pwita
Pwita pwita, pwita pwita
Pwita pwita, moyo unanipwita pwita
Mhhh
Wacha laizer nibakshie
Aiiii weweee mamaaa
Eti iyi iyi iyi iyi ahh
Hahaaa njoo tucheze kompa
Oho oho oho, oho oho oho
Watch Video
About Pwita
More ZUCHU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl