
Wewe Lyrics
...
Wewe Lyrics by KASSAM
Kuna muda nafeel nikuvute kwa nguvu nikukumbate
Kwenye joto kali usinywe maji nikupoze na mate
Ladha ya asali nilambe mpaka nijingate
Usikae mbali, usizidi hata centimeter chache
Usije niacha huko mbele
Maana naogopa kuishi mwenyewe
Maisha yangu nakupa wewe
Wewe ndio tamu wanishi ama uniue
Nasema wewe utamu wa wewe
Wewe utamu wa wewe
Yani nife ama niishi
Wewe utamu wa wewe
Wewe utamu wa wewe
Umekisafisha chocoleti
Donda usinirudishe jamani na naomba omba
Oh my umesikia
Usikivunje tulichokijenga
Na sirahisi mwengine kupenda
Oh my umesikia usije niacha
Huko mbele usijeniacha
Maana naogopa kuishi mwenyewe
Maisha yangu nakupa wewe
Wewe ndio tamu wanishi ama uniue
Nasema wewe utamu wa wewe
Wewe utamu wa wewe
Yani nife ama niishi
Wewe utamu wa wewe
Wewe utamu wa wewe
Watch Video
About Wewe
More KASSAM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl