Anaolewa Lyrics
Anaolewa Lyrics by KASSAM
Anaolewa, anaolewa
Anaolewa, anaolewa
Ile imani nilojaza kwako leo
Ndo yaniumiza
Nini nimekosa na upo leo
My yah yah yah
Kwa mapenzi nilonayo nikakupa cheo
Cha mahabuba
Bora ningefuga mbuzi
Ningekunywa hata supu
Maya siwezi laumu pengine
Sifai kuwa mume
Maisha magumu ukaona nitakuhifadhi wapi
Ama nguvu za kiume sina, hufiki unapotaka
Ati umenika na mtume, nitahubiria wapi
Yale mazoea yananipa taabu
Niliyekuzoea mi ndo napata taabu
Mawazo nilojijengea umenikata bawabu
Mema nilokufanyia nitalipwa dhawabu
Anaolewa, anaolewa
Anaolewa, anaolewa
Anaolewa, anaolewa
Anaolewa, anaolewa
Nini tatizo ama kila siku kukwambia ngoja ngoja
Ikakuumiza tumbo
Ama ni nini? Ama chakula cha utumbo
Miguu ya kuku vichwa Tandale kwetu umbo
Ama mbona ulisema ushagazoea
Tule tusile umejitolea
Kuwa nami kwako ningekewa
Yapo wapi?
Yale mazoea yananipa taabu
Niliyekuzoea mi ndo napata taabu
Mawazo nilojijengea umenikata bawabu
Mema nilokufanyia nitalipwa dhawabu
Anaolewa, anaolewa
Anaolewa, anaolewa
Anaolewa, anaolewa
Anaolewa, anaolewa
Watch Video
About Anaolewa
More KASSAM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl