
Mwewe/Umeniteka Lyrics
Mwewe/Umeniteka Lyrics by MZEE MONDI
[Intro]
Sungura Madini na Blod Gaza
YB, milio ni Central Zone
(aaah aaah)
Ukinishika nahisi unanitekenya
Na ukinitazama naskia raha
Moyo wangu umefall mazima, iyee
Unavyotembea kwa madaha
Mmmh, mwenzako nina upofu wa mapenzi
Nipeleke popote
Iwe jua, nyota au mbalamwezi
Niangazie chochote nitatulia(aaah aaah)
Kwenye mapenzi yako nitatulia(aaah aaah)
[Chorus]
Mmmmh mmmh, aaah eeh, aaah eeh
Wewe ni kama mwewe, wewe ni kama mwewe
Aaah eeh, aaah eeh
Mimi kifaranga njoo uninyakuwe
Aaah eeh, aaah eeh
Utamu wa mapenzi sitopata
Kwingine zaidi ya wewe
Aaah eeh, aaah eeh
Na imesemekana wewe
Haini cost kabisa, uwepo wako wee
Nakupost na picha, nzuri yako wee
Jina nzuri nakuita, malikia wee
Popote uendapo, nilipo me na wee
Janja janja nyingi, corner corner nyingi
Blah blah haziishi kwa wale wafitini
Mama mama wee, malkia wa nguvu
Usije ukapanda bei, ukanivunjia nguvu
Nikupe raha, unipe raha, nivunje na kibubu
Unipe raha, nikupe raha na mahagi ya kizungu
[Chorus]
Mmmmh mmmh, aaah eeh, aaah eeh
Wewe ni kama mwewe, wewe ni kama mwewe
Aaah eeh, aaah eeh
Mimi kifaranga njoo uninyakuwe
Aaah eeh, aaah eeh
Utamu wa mapenzi sitopata
Kwingine zaidi ya wewe
Aaah eeh, aaah eeh
Na imesemekana wewe
Sikiza yoh
Aga aga aga aga aga(umeniteka)
Dodo la yoyooo( mwenzako umenimaliza kabisa)
Aga my name officer(aah)
Dangia shamanda(aah)
Andanda ndundundundu (aah)
Shanga, chora mwaaaa
(oyooo yooo)
Aga aga aga aga aga
Ai mwana msambwanda
Aga aga aga
(oyooo yooo)
[Chorus]
Mmmmh mmmh, aaah eeh, aaah eeh
Wewe ni kama mwewe, wewe ni kama mwewe
Aaah eeh, aaah eeh
Mimi kifaranga njoo uninyakuwe
Aaah eeh, aaah eeh
Utamu wa mapenzi sitopata
Kwingine zaidi ya wewe
Aaah eeh, aaah eeh
Na imesemekana wewe
Ni mzee Diamond Platnumz
Aya Baba Tifa
Niko na wanangu Sungura Madini
[Outro]
Sikiliza hiyo moto, hatari ogopa sana
Watch Video
About Mwewe/Umeniteka
More MZEE MONDI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl