Unanijua Lyrics

MZEE MONDI Tanzanie | Bongo Flava, Bongo Flava

Unanijua Lyrics


 

Ata simba ananijua aga aga
Konki master ananijua aga aga aga
Pierre Liquid na wewe si unanijua

Woiyoooo...
Shaja boy unamjua
Roho msabwanda mnamjua
Cheki team macho mnayajua

Babu Tifa(naam mwanangu naam mwanangu)
Mwanao nina shida (niambie nikutatulie)
Nitawezaje kudumu kwenye mapenzi 
(Unahitaji uwe na roho ngumu sana mwanangu)
Hawa mababu zetu wenyewe,mapenzi yaliwashinda
Karibu sana ukubwani mwanangu

Aga aga aga(aga aga aga aga)
Mimi ni yule yule
Big Simba tunakuja kivingine
Babu Tifa oooh, aga aga

Aga aga aga
Mimi ni yule yule
Big lion
Aga aga

Maisha ya mjini
Boda boda bajaji 
Usingizi wa watu
Hawa mababu zetu wenyewe,mapenzi yaliwashinda
Karibu sana ukubwani mwanangu

Aga aga aga(aga aga aga aga)
Mimi ni yule yule
Big Simba tunakuja kivingine
Babu Tifa oooh, aga aga

Aga aga aga
Mimi ni yule yule
Big lion
Aga aga

MZEE MONDI (2 lyrics)

Mzee Mondi aka Diamond's Platnumz dad is Tanzania artist featured in the song Mwewe/ Umeniteka.

Leave a Comment