Malkia Lyrics
Malkia Lyrics by IBRAH NATION
Ibrah Nation - Malkia Lyrics
Baby ile siku nakuona
Na nikakuomba
Namba yako,ooh
Hata usiku sijaota
Kwamba siku moja
Nitakuwa wako wa milele
I wonder baby,
Mpaka leo
Sijawahi kuwaza kukuwacha
I wonder baby
Mpaka leo hii
Usiku na mchana ni wewe nakuwaza
Na umenifuta mimi machozi
Nilolia kwa mapenzi, oooh
Umenisahaulisha mengi
Nina imani nitakuenzi
We ni malkia, we ni malkia
Kwenye falme ya mapenzi yangu, malkia
We ni malkia, we ni malkia
Oooh malkia
Naomba Mola abariki maana
Mitihani pia ni mingi, oooh haya
Tukimaliza vigingi, beiby
Tutasherehekea ushindi, haya
Yalopita sio ndwele
Yanayokuja yahusu mapenzi yetu
Kila siku nawaza
Kulilinda penzi letu
Kama unavyojua
Moyo wangu umeamua
Umeamua, kutulia
Na penzi langu usije ugua
My love semaga
Nini kinakukwaza?
Nataka tujenge love, oooh
Ooh mama
Sometimes, huwa nakoseaga(koseaga)
Kama binadamu nisamehe(nisamehe)
We ni malkia, we ni malkia
Kwenye falme ya mapenzi yangu, malkia
We ni malkia, beiby malkia
Kwenye falme ya mapenzi yangu, malkia
We ni malkia, we ni malkia
Kwenye falme ya mapenzi yangu, malkia
Malkia, malkia
Kwenye falme ya mapenzi yangu, malkia
Watch Video
About Malkia
More IBRAH NATION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl